Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.
Kanisa la Mwenyezi Mungu lilikuja kuwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu—Bwana Yesu aliyerudi—Kristo wa siku za mwisho, na pia chini ya hukumu Yake ya haki na kuadibu. Kanisa limejumuisha wale wote ambao wanaikubali kwa kweli kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho na wameshindwa na kuokolewa na neno la Mungu. Liliasisiwa kabisa na Mwenyezi Mungu mwenyewe, na linaongozwa na kuchungwa binafsi na Yeye, na kamwe halikuanzishwa na mtu yeyote. Huu ni ukweli unaokubaliwa na watu wote waliochaguliwa katika Kanisa la Mwenyezi Mungu.Soma Zaidi
Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki
Mwenyezi Mungu,Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki