Filamu ya Kikristo | Nyendo za Mateso ya Kidini Nchini China | “Njia Ndefu ya Uhamisho”

14/08/2018

Tangu kilipokuja mamlakani katika China Bara mnamo mwaka wa 1949, Chama Cha Kikomunisti cha China kimekuwa hakikomi katika mateso yake kwa imani ya kidini. Kwa wayowayo kimewashika na kuwaua Wakristo, kuwafukuza na kuwadhulumu wamishonari wanaofanya kazi nchini China, wakachukua ngawira na kuchoma nakala nyingi za Biblia, wakafunga kabisa na kubomoa majengo ya kanisa, na bila mafanikio wakajaribu kukomesha makanisa yote ya nyumbani.…

Filamu hii inasimulia kisa cha kweli cha Mkristo Mchina, Yang Jing'en, akiteswa na Chama Cha Kikomunisti cha China. Yang Jing'en alikuwa na nyumba yenye furaha na maisha mazuri, lakini baada ya yeye na mkewe kumwamini Mungu na kuanza kutekeleza wajibu wao, wakawa watu wa kutakiwa na CCP. Walilazimishwa kuikimbia nyumbani kwao na wakawa wakimbizi. Yang Jing'en alivuka nusu ya China kwa zaidi ya miaka 18, lakini bila kujali ni wapi alipoenda bado alikuwa akipitia ukandamizaji, na mara kwa mara alikuwa katika hatari kubwa, akikabiliwa na hali moja ya hatari baada ya nyingine …

Baadhi ya taarifa katika video hii zinatoka kwa:

水墨素材来源:Wow!視覺特效 Show 一手!影片素材上傳區!

https://www.youtube.com/channel/UCo2WsnnMMdo4x9FqETfHJ3g

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp