Kanusho

Maudhui yote katika tovuti hii, ikiwa ni pamoja na, lakini bila kuweka mipaka kwa, maandishi, video, kanda za sauti, picha, nembo, na vifaa vingine, ama inamilikiwa na Kanisa la Mwenyezi Mungu au kutolewa leseni na mtunzi kwa ajili ya matumizi halali. Yamelindwa na sheria zako za kitaifa, sheria ya Korea Kusini, na mikataba na mapatano ya kimataifa kuhusiana na haki ya kunakili, haki za nembo, na haki zingine za uvumbuzi. Tafadhali soma Kanusho hili kwa makini kabla ya kuingia katika tovuti hii. Iwapo utaendelea kuvinjari, kusoma, kupakua, au kutumia maudhui katika tovuti hii, hii itamaanisha kwamba umesoma, kukubali na kutii masharti yote na kanuni za Kanusho hili.

Kanisa la Mwenyezi Mungu ni shirika lisilo la faida ya fedha. Unaweza kunakili au kupakua maudhui yote ya tovuti hii bila malipo. Lakini unapotumia maudhui yoyote kwenye tovuti hii, lazima uonyeshe kuwa yametoka kwa Kanisa la Mwenyezi Mungu na kutoa kiungo kwa tovuti hii. Tafadhali tumia maudhui yote katika tovuti hii kama yalivyo; hairuhusiwi kuhaririwa, kurekebishwa, kuumbuliwa, au kutumika kwa madhumuni ya kibiashara. Hutatumia maudhui katika tovuti hii kukashifu Kanisa la Mwenyezi Mungu wala kwenda kinyume na lengo la tovuti hii, ambayo ni kuwa na ushuhuda kwa, na kuihubiri Injili ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho. Hutatoa maelezo kwa jina la Kanisa la Mwenyezi Mungu kuharibu maslahi ya Kanisa. Ukifanya hivyo, tutamwajibisha kisheria mtu (watu) anayehusika. Yoyote ya vyombo vya habari, vikundi, mashirika, au watu binafsi wanakaribishwa kuzalisha maudhui ya tovuti hii ili kuihubiri injili ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho. Tungeshukuru kama unaweza kutueleza hali ambayo kwayo utakuwa ukitumia maudhui ya tovuti.

Nembo iliyosajiliwa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu na alama zingine za kistiari zote zinamilikiwa na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Hakuna yeyote anayeruhusiwa kuzitumia bila idhini ya maandishi kutoka kwa Kanisa la Mwenyezi Mungu.

Ukishuku maudhui yoyote kwenye tovuti yetu yanaasi, tafadhali tuarifu mara moja kwa taarifa halisi na halali na ushahidi ulioandikwa. Tutashughulikia jambo hilo mara moja baada ya thibitisho.

Barua pepe: info@almightygod.church