• Neno Laonekana katika Mwili
 • Mwendelezo wa Neno Laonekana katika Mwili
 • Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho    (Chaguzi)
 • Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo
 • Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo
 • VITABU

  Yote
  Neno Laonekana katika Mwili

  Neno Laonekana katika Mwili

  Hii ilikuwa mara ya kwanza tangu uumbaji ambayo Mungu alikuwa amehutubia wanadamu wote. Matamshi haya yalikuwa maandiko ya kwanza yaliyoonyeshwa na Mungu akiwa miongoni mwa wanadamu ambayo kwayo Aliwafichua watu, Akawaongoza, Akawahukumu, na kuzungumza nao kwa dhati na kwa hiyo, pia, yalikuwa matamshi ya kwanza ambayo kwayo Mungu aliwaruhusu watu kuzijua nyayo Zake, mahali ambamo Yeye huishi, tabia ya Mungu, kile Mungu anacho na alicho, fikira za Mungu, na masikitiko Yake kwa wanadamu. Inaweza kusemwa kwamba haya yalikuwa matamshi ya kwanza ambayo Mungu alikuwa amenena kwa wanadamu kutoka mbingu ya tatu tangu uumbaji, na mara ya kwanza ambayo Mungu alikuwa ametumia utambulisho Wake wa asili kuonekana na kuonyesha sauti Yake kwa wanadamu kati ya maneno. Soma Zaidi

  Mwendelezo wa Neno Laonekana katika Mwili

  Mwendelezo wa Neno Laonekana katika Mwili

  Kila mmoja anapaswa kuchunguza maisha yake upya ya kumwamini Mungu ili kuona iwapo, katika kumtafuta Mungu, ameelewa kwa dhati, amefahamukwa dhati, na kuja kumjua Mungukwa dhati, iwapo anajua kweli ni mawazo gani Mungu Anayo kwa aina tofauti za binadamu, na iwapo kweli anaelewa kile ambacho Mungu Anafanya juu yake na jinsi Mungu Anaeleza kila tendo lake. Soma Zaidi

  Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho    (Chaguzi)

  Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho (Chaguzi)

  Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, anaeleza maneno Yake ili kuwahukumu na kuwatakasa wanadamu na kuwaongoza katika enzi mpya, Enzi ya Ufalme. Wale wote wanaojisalimisha chini ya mamlaka Yake watafurahia ukweli wa juu zaidi na kupokea baraka nyingi zaidi. Kwa kweli wataishi kwenye mwanga, na wataupata ukweli, njia, na uzima. Soma Zaidi

  Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo

  Kumbukumbu za Maongezi ya Kristo

  Kitabu hiki chaonyesha kiini cha mwanadamu katika hali ya sasa ya mwanadamu, kikidhihirisha kwa wazi lengo ambalo watu wanastahili kufuata, na kutatua maswala yanayohusu asili ya mwanadamu.Soma Zaidi

  Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo

  Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo

  Hukumu mbele ya enzi kubwa nyeupe ya siku za mwisho imeanza. Kristo wa Mwisho—Mwenyezi Mungu—ameeleza ukweli ili kufanya kazi yake ya kuwahukumu na kuwatakasa wanadamu. Kupitia ufunuo na hukumu ya neno la Mungu, polepole watu wateule wa Mungu wanatambua upotoshwaji wao na Shetani na wanapata njia ya kuutoroka ushawishi wa Shetani, wakisaidia maisha yao kupata mabadiliko ya asteaste. Tajriba hizi halisi zinathibitisha kwamba kazi ya hukumu inayofanywa na Mwenyezi Mungu ni kazi ya kumwokoa mwanadamu kikamilifu.Soma Zaidi