Ushuhuda wa Uzoefu Mbele ya Kiti cha Hukumu cha Kristo
Juzuu ya IHukumu mbele ya kiti kikuu cheupe cha enzi ya siku za mwisho imeanza! Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, Ameonyesha ukweli ili kutekeleza kazi Yake ya kuwahukumu na kuwatakasa wanadamu. Kupitia ufunuo na hukumu ya maneno ya Mungu, wateule Wake wanajua ukweli wa upotovu wao wa kishetani polepole na kupata njia ya kuutoroka ushawishi wa Shetani na kupata wokovu, na polepole wanaona mabadiliko katika tabia zao za maisha. Matukio haya halisi yanashuhudia kwamba kazi ya hukumu inayotekelezwa na Mwenyezi Mungu ni kazi ya kuwatakasa na kuwaokoa wanadamu kikamilifu.
Ushuhuda wa Uzoefu
1Nimebahatika Kumhudumia Mungu
19Ubora Duni wa Tabia Sio Kisingizio
20Kwa Nini Nimetembea Njia ya Mafarisayo
21Nimejifunza Jinsi ya Kuwatendea Watu Vizuri
23Hatimaye Naelewa Maana ya Kutimiza Wajibu Wangu
24Hatimaye, Nimejifunza Jinsi ya Kutimiza Wajibu Wangu
26Tuzo za Kutimiza Wajibu wa Mtu
27Jinsi Mtu Anavyopaswa Kuchukulia Wajibu Wake
28Jinsi ya Kuuchukulia Wajibu Wako
35Siku za Kutafuta Umaarufu na Faida
36Kukombolewa Kutokana na Umaarufu na Utajiri
39Kuishi kwa Kudhihirisha Mfano wa Binadamu Mwishowe
43Kwa Kuacha Ubinafsi, Nimekombolewa
44Mwishowe, Naona Ukweli Kujihusu
52Buriani, Mtu Mwenye Kujipendekeza
53Kulegeza Uhusiano Unaowafunga Watu Pamoja
55Kuondokana na Minyororo ya Utumwa
63Ni Nani Anayesema Tabia Ya Kiburi Haiwezi Kubadilishwa
64Kiburi Huja Kabla ya Kuanguka
65Mfano wa Binadamu Unafikiwa kwa Kutatua Kiburi
67Kuishi kwa Kudhihirisha Mfano Kidogo wa Mwanadamu Hakika Ni Vizuri
80Kutumikia Wakati wa Upeo wa Ujana Gerezani
81Mateso na Majaribio Ni Baraka za Mungu
82Mateso katika Chumba Cha Kuhojiwa
83Kushinda Kupitia Majaribu ya Shetani
85Wakati wa mateso Ya Kikatili
86Siku Baada Ya Nyingine Katika Jela Ya Chama Cha Kikomunisti