Ushuhuda wa Kumrudia Mungu

Makala 49 Video 6

Vurugu Kutoka kwa Uvumi wa “Mei 28” (Sehemu ya 2)

Baada ya hilo, sikujihadhari tena dhidi ya ndugu wa Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wakati wowote nilipokuwa na muda ningesoma neno la Mungu na kutazama video, filamu, video za muziki, nyimbo, filamu za muziki na maonyesho mengine yaliyotolewa na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Kadiri nilivyozidi kutazama haya yote, ndivyo nilivyozidi kuhisi kupewa, na ndivyo nilivyozidi kuhisi raha. Nilidhibitisha kutoka kwa moyo wangu kwamba Mwenyezi Mungu ndiye kuonekana kwa Bwana Yesu.

Vurugu Kutoka kwa Uvumi wa “Mei 28” (Sehemu ya 1)

Lakini nilihisi udhibitisho moyoni mwangu kwa njia ambayo ndugu kutoka Kanisa la Mwenyezi Mungu waliishi, jinsi walivyoishi haikuwa ya uongo, ilikuwa onyesho la maisha yao baada ya kutenda maneno ya Mungu. Kwa sababu walizifuata nyayo za Mwanakondoo, walikuwa na kazi ya Roho Mtakatifu, na walikuwa na neno la Mungu kama uzima wao, waliweza kuishi kwa kudhihirisha mfano wa Mkristo wa kweli anayeleta utukufu kwa Mungu na kumshuhudia Mungu.

Mwamko wa Roho Aliyedanganywa

Na Yuanzhi, Brazili Nilizaliwa katika mji mdogo huko Kaskazini mwa China na mnamo 2010, nikafuata jamaa kwenda Brazili. Hapa nchini Brazili, nilijuana…

Ufanisi

Na Fangfang, China Sote katika familia yangu tunamwamini Bwana Yesu, na wakati nilikuwa muumini wa kawaida tu katika kanisa letu, babangu alikuwa mmoj…

Kupenyeza Mzunguko Uliokazwa wa Shetani

Na Zhao Gang, China Kulikuwa na baridi kali Novemba iliyopita huko Kaskazini Mashariki mwa China, hakuna theluji iliyoanguka chini iliyoyeyuka, na wat…

Kujiweka Huru Kutoka katika Mtego wa Uvumi

Na Xiaoyun, China Awali nilikuwa afisa kike wa jeshi. Siku moja mnamo mwaka wa 1999, mchungaji Mkorea alinihubiria injili ya Bwana Yesu. Kwa sababu ya…

Kuwa katika Hatari Kubwa

Nilikubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho zaidi ya mwezi mmoja uliopita. Mchungaji na wazee hawajaacha kunisumbua na kuwashawishi wazazi wan…

Kupotea na Kurejea Tena

Na Xieli, Marekani Nilikuja Marekani kufanya kazi kwa bidii kama vile ningeweza kutafuta maisha yenye furaha na hali ya juu ya maisha. Ingawa nilitese…

Neno la Mungu Laniongoza Kushinda Vishawishi

Na Tian’na, Hong Kong Ninapofungua kurasa za makala ya maneno ya Mungu, “Je, Ulikuwa Unajua? Mungu Amefanya Jambo Kubwa Miongoni Mwa Wanadamu” sina bu…

Jinsi Nilivyokaribia Kuwa Mwanamwali Mjinga

Na Li Fang, China Katika majira ya kupukutika kwa majani ya mwaka wa 2002, Dada Zhao kutoka dhehebu langu, Kanisa la Kweli, alimleta mpwa wake wa kike…

Dhoruba ya Talaka Yazimwa

Na Lu Xi, Japani Mnamo mwaka wa 2015, rafiki yangu alinishawishi nianze kumwamini Mwenyezi Mungu. Baada ya kupokea kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za m…

Kukimbia Kutoka katika “Tundu la Chui”

Na Xiaoyou, China Jina langu ni Xiaoyou na nina umri wa miaka 26. Nilikuwa Mkatoliki. Nilipokuwa mdogo, nilikwenda na mama yangu kanisani kuhudhuria M…

Kupenya Ukungu ili Kuona Mwanga

Wakati tu nilipokuwa nikipoteza njia yangu, ilikuwa ni neno la Mungu lililoniongoza kubaini mpango wa Shetani, na kupenya ukungu na kuingia kwenye njia angavu na sahihi kwa uzima.

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp