Makala ya hivi Karibuni

Ushuhuda wa Matukio ya Maisha

Zaidi

Kwa Kuacha Ubinafsi, Nimekombolewa

Na Xiaowei, Uchina Mwenyezi Mungu anasema, “Katika tabia za watu wa kawaida hakuna uhalifu au udanganyifu, watu wana uhusiano wa kawaida kati yao, ha…

Kuondokana na Minyororo ya Utumwa

Na Zhou Yuan, Uchina Mwenyezi Mungu anasema, “Huu ndio wakati Ninapoamua mwisho wa kila mtu, bali si hatua ambapo nilianza kumfinyanga mwanadamu. Mim…

Tazama zaidi

Ushuhuda wa Mateso

Zaidi

Wakati wa mateso Ya Kikatili

Na Chen Hui, China Nililelewa katika familia ya kawaida nchini China. Baba yangu alikuwa katika jeshi na kwa sababu nilikuwa nimeongozwa na kuathiriw…

Kuinuka Kupitia Ukandamizaji wa Giza

Maneno ya Mungu yalinipa kitu imara cha kutegemea! Kiliniruhusu kufurahia nuru na mwongozo wa maneno ya Mungu wakati wa maumivu yangu ya kuzidi kiasi na udhaifu, ambayo ndiyo iliyokuwa njia ya pekee ambayo ningeweza kupita kipindi hiki cha giza na kilichorefuka kupita kiasi Ingawa nimepata uzoefu wa kukamatwa na kuteswa mara nyingi na serikali ya CCP, na mwili wangu umepitia ukatili usio na huruma na mateso, kwa kweli naelewa ukweli mwingi ambao sikuufahamu katika siku za nyuma na ninaona kwa dhahiri tabia ya kishetani ya uovu unaopinga maendeleo wa serikali China. Nimepata uzoefu pia wa upendo wa kweli wa Mwenyezi Mungu kwangu na nimeonja hekima inayoweza ya Mwenyezi Mungu na matendo ya ajabu. Huniamsha kutafuta kumpenda Mungu na kumridhisha Mungu. Leo, bado ninatimiza wajibu wangu katika kanisa kama nilivyofanya zamani; mimi humfuata Mungu katika njia sahihi ya uzima, mimi hutafuta ukweli na hutafuta kuishi maisha ya maana.

Tazama zaidi

Ushuhuda wa Kumrudia Mungu

Zaidi

Niliupata Mwanga wa Kweli

Bila kufahamu, chini ya uongozo wa maneno ya Mungu, nikaanza pia kutafuta mabadiliko katika tabia yangu na kuona vitu kulingana na maneno ya Mungu; pia nilikuwa na ufahamu wa na nilijua jinsi ya kutofautisha asili mbaya ya mkondo wa jamii na taratibu na njia ambazo Shetani humdanganyia mtu.

Tazama zaidi

Imani na Maisha

Zaidi
Tazama zaidi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp