Christian Testimony Video | Kuripoti Au Kutoripoti (Swahili Subtitles)

16/10/2020

Akiwa anafanya kazi kanisani, mhusika mkuu anagundua kuwa kiongozi wa timu daima huwa hajali na ni mtu asiyejukumika katika wajibu wake, na yeye hukataa kukubali maoni na usaidizi unaotolewa na kina ndugu. Yeye ni mmoja wa viongozi na wafanyakazi wa uwongo ambao hawafanyi kazi ya vitendo na wanapaswa kufunuliwa na kuripotiwa. Hata hivyo, mhusika mkuu anaogopa kumkosea na kujisumbua mwenyewe, kwa hivyo anasita kuongea juu ya shida hiyo akijaribu kujikinga. Jambo hili linachelewesha kazi ya kanisa. Baada ya kupitia hukumu ya maneno ya Mungu, anapata kuelewa kuhusu tabia yake ya ubinafsi na ya uovu na anaanza kuichukia. Mwishowe, anamfunua na kumripoti kiongozi huyo wa timu kulingana na matakwa ya Mungu, na kiongozi huyo anafukuzwa kazini. Tukio hili linamwonyesha kuwa ukweli na haki unatawala katika nyumba ya Mungu, na hili linaiimarisha imani yake ya kutenda ukweli na kuwa mtu mwaminifu.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp