Ushuhuda wa Kikristo | Kwaheri, Ndoto Yangu ya Kuwa Maarufu
18/08/2020
Mhusika mkuu alikuwa mwigizaji wa maonyesho wakati mmoja, na baada ya kuanza kumwamini Mungu aliigiza katika filamu chache za injili za kanisa. Wakati tu anapotamani siku ambayo ataweza kuigiza kama mhusika mkuu na kuwa maarufu, anapata habari kwamba alifeli jaribio lake la uigizaji. Matumaini yake ya kuwa maarufu yanavunjwa, na anakata tamaa na kuhuzunika ... Baada ya kupitia kufunuliwa na kuhukumiwa na maneno ya Mungu, anakuja kuelewa na kuchukia malengo yaliyopotoka ambayo amekuwa akifuatilia, na anatambua matokeo ya kufuatilia sifa na hadhi. Anaacha kutafuta kuwa maarufu na anaanza kufanya wajibu wake kwa uthabiti.
Ikiwa una matatizo au maswali yoyote katika imani yako, tafadhali wasiliana nasi wakati wowote.
Aina Nyingine za Video