Katika miaka ya hivi karibuni, katika upeo wa mbingu “mwezi wa damu” umeonekana mara kwa mara. Majanga mbalimbali kama vile magonjwa ya mlipuko, tetemeko ya ardhi, na njaa zinazidi kuwa mbaya. Unabii wa Biblia kuhusu siku za mwisho tayari umetimia, na siku kuu na ya kutisha ya Yehova iko karibu. Majanga makubwa sasa iko juu yetu, kwa hivyo tunapaswaje kukaribisha kurudi kwa Bwana? Nakala hii ina jibu.
“Virusi vipya vya corona”—maneno yanayotia hofu ndani ya mioyo ya watu—viliibuka mara ya kwanza mjini Wuhan, Uchina, na kutoka hapo vimeenea duniani k…
Tamanio kubwa kabisa la kila mmoja wetu anayemwamini Bwana ni kuingia katika ufalme wa mbinguni na kupata uzima wa milele. Biblia inasema, “Yule amwam…
Miaka elfu mbili iliyopita, Bwana Yesu alituahidi: “Tazama, Naja upesi” (Ufunuo 22:12). Sasa, kila aina ya ishara za kurudi Kwake zimeonekana, na ndugu wengi wamekuwa na maono kwamba siku ya Bwana iko karibu. Je, Bwana tayari Amerudi? Je, tunaweza kufanya nini ili kumkaribisha Bwana? Hebu tujadili hili sasa kwa kuchunguza unabii ulio katika Biblia.
Bwana Yesu alisema, “Hakika nawaambieni, Yeyote ambaye hutenda dhambi ni mtumishi wa dhambi. Na mtumishi haishi katika nyumba milele: lakini Mwana hui…
Sasa ni nyakati za mwisho. Maafa ni matukio ya mara kwa mara ulimwenguni kote, na unabii wa kuwasili kwa Bwana umetimia; ishara na dalili tofauti zinaonyesha kuwa Bwana amerudi, hivyo, kwa nini Hajaonekana akirudi ndani ya wingu? Na tunawezaje kukaribisha kuwasili Kwake? Maandishi haya yatakuambia jinsi ya kufanya hivyo.
Na Guozi, Marekani Nilizaliwa katika familia ya Kikristo, na nilipokuwa na umri wa mwaka mmoja, mama yangu alikubali kazi mpya ya Bwana Yesu aliyerudi…