Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Fuata Nyayo za Mwanakondoo na Ufurahie Riziki Nyingi ya Uzima

Rudiana na Bwana Furahia Karamu ya Thamani

Injili ya Ufalme wa Mbinguni

Unataka kujifunza kuhusu kazi mpya ya Mungu na kufuata nyayo za Mwanakondoo?

Hapa unaweza kupata maneno ya Mungu kwa enzi mpya. Hapa, Mungu anafunua siri za ukweli …

Pata kujua kazi ya Mungu katika siku za mwisho na uingie kwenye njia ya kupata wokovu na kuingia katika ufalme wa mbinguni.

Ushuhuda

Kila Mkristo ana hadithi ya kusisimua kuhusu kuchaguliwa na Mungu.

Kila muumini wa kweli wa Mungu anaipitia kazi Yake.

Pata kuijua kazi ya Mungu na ushuhudie upendo na wokovu Wake kupitia kila aina ya matukio na ushuhuda wa Kikristo.

Imani na Maisha

Tunakabiliwa na mazingira ya aina zote, watu, matukio, na mambo katika maisha yetu.

Katika imani yetu, sisi hukabiliwa na aina zote za mchafuko na matatizo.

Imani na Maisha ni uteuzi uliopangwa kwa makini wa insha za Wakristo juu ya matukio na ushuhuda wao, zikikusaidia uelewe mapenzi ya Mungu katika mazingira mbalimbali, na kupata njia sahihi ya utendaji.

Sikia Matamko ya Mungu katika Siku za Mwisho, Kunywa Katika Riziki ya Maji Yaliyo Hai

Maneno ya Mungu ni taa mbele yetu, mwanga njiani ukiangaza njia yetu kwenda mbele. Endelea sawa na nyayo za Mungu, sikiliza matamshi ya Kristo wa siku za mwisho, elewa siri zote za ukweli, furahia unyunyiziaji na riziki ya maji yaliyo hai ya uzima!

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Sikiliza nyimbo mpya za ufalme wakati wowote na mahali popote. Jitulize mbele ya Mungu na uuache moyo wako umkaribie Yeye zaidi.

Video za Ajabu Zakuongoza Kuielewa Kazi ya Mungu

Sinema
Video za Kwaya
Nyimbo za Kidini
Maonyesho Mbalimbali
Usomaji

Hapa unaweza kuwapata Wakristo wakikaribisha kurudi kwa Bwana kwa furaha na matukio yao ya kweli ya maisha ya kuinuliwa mbele ya kiti cha enzi cha Mungu. Tumezichagua kwa uangalifu filamu hizi ambazo zinashuhudia Wakristo wakipitia kazi ya Mungu ya hukumu ya siku za mwisho, hivyo kufanikisha mabadiliko katika tabia. Filamu hizi za Kikristo zitakuongoza kuielewa kazi ya Mungu ya siku za mwisho na kupata njia ya kufikia wokovu kamili na kuingia katika ufalme wa mbinguni.

Furahia video za kazi za kwaya za Kikristo, na utoe sifa kwa ajili ya kuonekana kwa Kristo wa siku za mwisho na kwa kushuka kwa ufalme wa Mungu miongoni mwa wanadamu!

Kila aina ya nyimbo za kidini hapa ili usikilize na ufurahie. Zisikilize kwa kwa moyo wako, imba pamoja nazo na utoe shukrani kwa ajili ya upendo wa Mungu ambao huwa nasi daima!

Huu ni mkusanyiko wa maonyesho kuhusu ushuhuda wa injili na mateso kwa ajili ya dini ili kujibu mwaswali yako yote kuhusu kukaribisha kuja kwa Bwana na kukuonyesha ukweli kuhusu CCP kuzitesa imani za kidini.

Tazama video za usomaji wa maneno ya Mungu ili kusikia maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa. Fahamu siri za mpango wa usimamizi wa miaka elfu sita wa Mungu na kuyaelewa mapenzi ya Mungu ya kuwaokoa wanadamu.

Sala za Kila Siku Hukuleta Karibu na Mungu

Mwendo wa maisha unaposhika kasi, tuna muda kidogo zaidi na zaidi wa kumkaribia Mungu. Kwa nini usipunguze kasi kidogo, ukituliza moyo wako mbele ya Mungu, na kutafakari juu ya maneno Yake ili kuanzisha uhusiano sahihi na Yeye?

Wawakilishi Wetu Waliojitolea wa Mtandaoni Wako Hapa kwa Ajili Yako

Unapokumbana na maswali au matatizo yoyote katika maisha au imani yako, tafadhali kuwa huru kuwasiliana nasi. Tuko hapa daima kusikiliza mawazo yako ya faragha sana, kuchunguza na kuwasiliana kwa pamoja.