Christian Testimony Video | Nimepata Njia ya Kuingia Katika Ufalme wa Mbinguni (Swahili Subtitles)

09/08/2020

Mhusika mkuu aliwafuata wazazi wake katika imani yao ya Kikristo tangu alipokuwa mdogo, na yeye na mumewe walifanya kazi kanisani pamoja baada ya kufunga ndoa. Kwa miaka michache iliyopita, amegundua kuwa yeye huomba ili kukiri kwa Bwana kila mara, lakini hawezi kujizuia kutenda dhambi, na hawezi kufuata maneno ya Bwana. Yeye pia si mvumilivu au mstahimilivu kwa mumewe. Anafikiria haya kutoka kwa maneno ya Mungu: “Na mtakuwa watakatifu; kwani mimi ni mtakatifu” (Walawi 11:44). Mungu ni mtakatifu, na yeyote ambaye si mtakatifu hawezi kumwona Bwana, kwa hivyo anajiuliza: Je, mtu kama yeye anayeishi katika dhambi anaweza kuingia katika ufalme wa mbinguni? Haya yanamuumiza, na anamwomba Bwana wakati wote. Je, anaondolewa utatanishi huu vipi, na anapataje njia ya kutakaswa na kuingia katika ufalme.

Tazama zaidi

Ikiwa una matatizo au maswali yoyote katika imani yako, tafadhali wasiliana nasi wakati wowote.

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp