Ushuhuda wa Kweli | Nimeunganishwa Tena na Bwana

29/07/2020

Mhusika mkuu katika video hii amemwamini Bwana kwa zaidi ya miongo miwili, na amekuwa akitamani sana Bwana Yesu arudi. Amekuwa akiamini siku zote kwamba Biblia inamwakilisha Mungu, kwamba kumwamini Mungu kunamaanisha kuiamini Biblia, na kwamba hakuwezi kuwa na kazi nyingine zaidi au maneno ya Mungu nje ya Biblia. Kwa sababu ya kuamini Biblia na kuiabudu kwa upofu, anaiacha kazi ya Mungu ya siku za mwisho impite. Yaani, hadi siku moja anapoanza kupokea mapendekezo ya YouTube ya Kanisa la Mwenyezi Mungu bila kutarajiwa. Anatambua kuwa huenda ni Mungu anayemwongoza, kwa hivyo anaanza kutazama filamu na video za Kanisa la Mwenyezi Mungu za mtandaoni, na kusoma maneno ya Mwenyezi Mungu…. Mwishowe, anawezaje kuacha kuiamini Biblia na kuiabudu Biblia kwa upofu na kimakosa na kuinuliwa mbele za Bwana ili kuunganishwa tena naye? Tazama Nimeunganishwa Tena na Bwana ili kujua.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp