Christian Testimony Video | Siri ya Majina ya Mungu

01/09/2020

Mhusika mkuu ni Mkristo mcha Mungu ambaye anaiamini aya hii ya Biblia kwa uthabiti: “Wala hakuna wokovu kwa mwingine yeyote: kwani hakuna jina lingine chini ya mbingu lililopewa miongoni mwa wanadamu, linalotupasa kuokolewa kulipitia” (Matendo 4:12). Anafikiri kwamba mradi alitetee jina la Bwana Yesu, anaweza kuchukuliwa katika ufalme wa mbinguni Bwana atakapokuja. Bila kutarajia, siku moja mkewe anamwambia kwamba Mungu amechukua jina jipya katika siku za mwisho, na anachanganyikiwa. Muda si muda, anagundua katika Andiko kwamba katika Agano la Kale, jina la Mungu ni “Yehova,” wakati katika Agano Jipya, jina Lake ni “Yesu.” Jina la Mungu kweli linaweza kubadilika! Anaanza kuacha maoni yake ili atafute ukweli, na mwishowe anakuja kuelewa siri ya majina ya Mungu. Anakubali jina jipya la Mungu, na hivyo kuhudhuria sherehe ya harusi ya Mwanakondoo. Kwa hivyo siri ya majina ya Mungu ipi? Unaweza kujua kutoka kwa uzoefu wa mtu huyu.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp