Christian Testimony Video | Kuwa katika Hatari Kubwa

01/10/2020

Mhusika mkuu alikuwa mfanyakazi mwenza katika kanisa fulani la nyumbani. Alikuwa mtafutaji mwenye shauku katika imani yake kwa miaka mingi na alikuwa akisubiri kwa hamu kuja kwa Bwana. Baada ya kusoma maneno ya Mwenyezi Mungu, anatambua sauti ya Mungu ndani ya maneno hayo na anabaini kuwa Mwenyezi Mungu ndiye kurudi kwa Bwana Yesu. Anakubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho. Wachungaji kutoka kanisa lake la zamani wanapogundua kwamba sasa anamwamini Mwenyezi Mungu, wanafanya juu chini kumzuia na kumsumbua. Wanaposhindwa katika jaribio lao la kumshawishi kwa hadhi na pesa, wanatumia ndoa ya mwanawe kama uwezo wa kumtisha ili aache njia ya kweli. Vita vya kiroho vinajitokeza kimyakimya…. Je, ataweza kumtegemea Mungu ili ajikomboe kutokana na gereza la wachungaji wa uwongo na kurudi mbele ya kiti cha enzi cha Mungu?

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp