Christian Testimony Video | Hatimaye Naelewa Maana ya Kutimiza Wajibu Wangu

07/11/2020

Wajibu wa msimulizi wetu kanisani ni kuimba na kutunga nyimbo, na kwa jumla, yeye hujitahidi mno kufanya maonyesho na mazoezi ya muziki. Lakini kila anapokabiliwa na tatizo na anapohitaji kujitolea kiasi kidogo zaidi, yeye hutaka kumaliza wajibu kwa kubahatisha na hukwepa kutia juhudi. Miradi yake inarudishwa mmoja baada ya mwingine na maendeleo ya kazi yanacheleweshwa. Anapohukumiwa, kufunuliwa, kushughulikiwa na kupogolewa na maneno ya Mungu, anagundua jinsi ambavyo sehemu ya asili yake iliyokengeuka imemfanya awe mzembe na mtovu wa uaminifu katika kufanya wajibu wake, awadanganye wengine na kumdanganya Mungu, na hayo yanamsababisha apoteze heshima na uadilifu wake na yanamfanya asiaminike. Anajuta sana na anaanza kutafuta na kutenda ukweli ili kutatua tabia yake potovu ya kutojali na mwishowe anaanza kutekeleza wajibu wake kwa bidii.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp