Christian Testimony Video | Kufuata Nyayo za Mwanakondoo (Swahili Subtitles)

09/08/2020

Li Zhong, mke wake na watoto wao wawili ni Wakristo. Anapogundua kuwa mkewe amekubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho, anafanya juu chini kupinga imani yake katika Mwenyezi Mungu. Yeye pia anakataa kuchunguza kazi ya hukumu ya Mungu ya siku za mwisho, akiamini kwa sababu ya fikira na mawazo yake mwenyewe kwamba almradi ashikilie jina la Bwana Yesu, atapelekwa katika ufalme wa mbinguni Bwana atakapokuja. Anatumia motisha ndogo ndogo kuwashawishi wanawe wawili wajiunge naye katika mapambano ya kumzuia mkewe asihudhurie mikutano. Kisha siku moja, kupitia nafasi isiyotarajiwa, anaangalia sirini maneno ya Mwenyezi Mungu, Neno Laonekana katika Mwili. Yanamtikisa kabisa. Je, Li Zhong anaishia kufanikiwa katika mpango wake wa kumzuia mkewe? Anapitia mabadiliko ya aina gani? Utagundua utakapotazama Kufuata Nyayo za Mwanakondoo.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp