Jinsi Nilivyomgeukia Mwenyezi Mungu Tena
Kila mtu anayemwamini Mungu ana hadithi maalumu kuhusu safari yake binafsi ya kurejea Kwake. Kitabu hiki kinashiriki mambo halisi waliyopitia wateule wa Mungu katika kupokea mwongozo kutoka kwa maneno ya Mwenyezi Mungu, wakiwa na uhakika kuhusu njia ya kweli, na kurudi mbele ya kiti Chake cha enzi. Wengine walijinasua kutokana na minyororo na shutuma za mawazo yao ya kidini, wengine walitoroka kuvurugika na kuteswa na nguvu za wapinga Kristo katika jamii za kidini na nguvu za uovu za Chama cha Kikomunisti cha China, na bado wengine walipata utambuzi kuhusu mienendo miovu ya ulimwengu. Mwishowe, wote walirudi mbele za Mungu.
Ushuhuda wa Uzoefu
1Ukungu Waondoka na Napata Njia ya Ufalme wa Mbinguni
4Mwamko wa Roho Aliyedanganywa
5Moyo Unaorandaranda Wakuja Nyumbani
6Sikiliza! Ni Nani Huyu Anenaye?
7Jinsi Nilivyokaribia Kuwa Mwanamwali Mjinga
8Mwenyezi Mungu alinielekeza kwenye Njia ya Kupata Utakaso
10Ufalme wa Mbinguni Kwa Kweli Upo Duniani
11Nimeunganishwa Tena na Bwana
12Fumbo la Utatu Linafichuliwa
15Kupitia Kuelewa Siri ya Majina ya Mungu, Naenda Sambamba na Nyayo za Mwanakondoo
16Neno La Mungu Ni Nguvu Yangu
17Kupenyeza Mzunguko Uliokazwa wa Shetani
18Neno la Mungu Laniongoza Kushinda Vishawishi
19“Njiwa Mjumbe” Aleta Habari Muhimu
20Nabaini Uwongo wa Serikali ya CCP na Upendo wa Mungu Unanirudisha Kwake
21Kujiweka Huru Kutoka katika Mtego wa Uvumi
22Kukimbia Kutoka katika “Tundu la Chui”
24Ni Nani Aliye Kizuizi kwenye Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni?
26Kufungua Mlango wa Moyo Wangu na Kukaribisha Kurudi Kwa Bwana
28Kupenya Ukungu ili Kuona Mwanga
29Mwanga ni wa Vuguvugu Wakati wa Kupenya Shimo
30Siku Hiyo Anga Ilikuwa Angavu Hasa na Jua Liliangaza
31Kijani Kidogo cha Nyasi Kilichokua Miongoni mwa Mikwamba
32Ufanisi
34Uzinduzi wa Kiroho wa Mkristo
35Baada ya Kukubali Wokovu wa Mungu katika Siku za Mwisho, Tunapokea Uzima Mpya
39Nimekaribisha Kurudi Kwa Bwana
41Kesi ya Zhaoyuan ya Mnamo Mei 28 Lasababisha Upeo wa Tatizo la Familia