Kondoo wa Mungu Huisikia Sauti ya Mungu
Mambo Muhimu ya Muumini MpyaKitabu hiki ni mkusanyiko wa ukweli wa maono kama vile hatua tatu za kazi ya Mungu, majina Yake, siri ya kupata mwili Kwake, na jinsi ya kutofautisha kati ya njia ya kweli na njia za uwongo. Kinaweza kusomwa na kutumiwa kujiandaa na wale ambao wameikubali kazi ya Mungu ya siku za mwisho hivi karibuni, ili waweze kuelewa ukweli wa maono wa kazi ya Mungu na kuweka misingi haraka iwezekanavyo kwenye njia ya kweli.
Vitabu vya Injili
-
Sura ya 1 Mwenyezi Mungu Ndiye Mungu Mmoja wa Kweli Ambaye Aliumba Kila kitu
-
Sura ya 2 Ukweli wa Majina ya Mungu
-
Sura ya 3 Ukweli Kuhusu Awamu Tatu za Kazi ya Mungu
-
Sura ya 4 Ukweli wa Kazi ya Mungu ya Siku za Mwisho
-
Sura ya 5 Ukweli Kuhusu Mungu Kupata Mwili
-
Sura ya 6 Aina Mbalimbali za Utofautishaji Ambazo Unafaa Kumiliki katika Kusadiki Kwako kwa Mungu
1Utofautishaji Kati ya Kazi ya Mungu na Ile ya Mwanadamu
2Utofautishaji Kati ya Kazi ya Roho Mtakatifu na Ile ya Pepo Wabaya
3Utofautishaji Kati ya Kristo wa Kweli na Makristo wa Uongo
4Utofautishaji Kati ya Njia za Kweli na za Uongo, na Kati ya Makanisa ya Kweli na ya Uongo
5Tofauti Kati Ya Kumfuata Mungu na Kuwafuata Watu
6Utofautishaji Kati ya Viongozi wa Kweli na wa Uongo, na Kati ya Wachungaji wa Kweli na wa Uongo
7Tofauti Kati Ya Matendo Mazuri ya Nje na Mabadiliko Katika Tabia
-
Sura ya 7 Vipengele Vingine vya Ukweli Ambavyo Unafaa Kueleweka Katika Imani Yako kwa Mungu
1Kujua Chanzo cha Upinzani wa Watu kwa Kazi Mpya ya Mungu katika Imani Yao kwa Mungu
2Katika Kutafuta Njia ya Kweli, Lazima Uwe na Mantiki
3Katika Kumwamini Mungu, Unapaswa Kuweka Uhusiano wa Kawaida na Mungu
4Adabu Takatifu Ambayo Waumini wa Mungu Wanapasa Kuwa Nayo
5Imani Katika Mungu Haipasi Kuwa kwa ajili ya Kutafuta Amani na Baraka Pekee
6Maana ya Mateso na ni Mateso ya Aina Gani Ambayo Waumini wa Mungu Lazima Wastahimili
7Waumini katika Mungu Wanapasa Kujiandaa kwa Ajili ya Hatima Yao kwa Matendo Mema ya Kutosha
-
Sura ya 8 Miisho ya Aina Mbalimbali za Watu na Ahadi ya Mungu kwa Mwanadamu