Maneno Yaliyo Bora Kabisa Kutoka kwa Mwenyezi Mungu, Kristo wa Siku za Mwisho

Maneno Yaliyo Bora Kabisa Kutoka kwa Mwenyezi Mungu, Kristo wa Siku za Mwisho

Kimetoholewa kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili

Kitabu hiki kina dondoo kutoka katika maneno yaliyo bora kabisa yaliyoonyeshwa na Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, katika Neno Laonekana katika Mwili. Maneno haya yaliyo bora kabisa yanafafanua ukweli moja kwa moja, na yanaweza kuwawezesha watu waelewe mapenzi ya Mungu moja kwa moja, waje kuijua kazi Yake, na wapate maarifa kuhusu tabia Yake na kile Anacho na alicho. Maneno haya ni mwongozo ambao kwao wale wote wanaotamani sana kuonekana kwa Mungu wanaweza kutafuta nyayo Zake. Yanaweza kukuongoza upate mlango wa kuingia katika ufalme wa mbinguni.

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp