Neno Laonekana katika Mwili

Toleo La 2, Kuhusu Kumjua Mungu

Kuhusu Kumjua Mungu, buku la pili la Neno Laonekana katika Mwili, lina matamko ya Kristo wa siku, Mwenyezi Mungu, za mwisho kwa binadamu wote, yakija baada ya yale ya yaliyo katika Kuonekana na Kazi ya Mungu. Mungu anafafanua juu ya ukweli mbalimbali kama vile kazi ambayo Amefanya tangu aumbe ulimwengu, mapenzi Yake na matarajio Yake kwa wanadamu yaliyomo humo ndani, na mbubujiko wa kila kitu ambacho Mungu anacho na alicho kutokana na kazi Yake, na vile vile haki Yake, mamlaka Yake, utakatifu Wake na ukweli kwamba Yeye ndiye chanzo cha uzima wa vitu vyote. Baada ya kukisoma kitabu hiki, wale wanaomwamini Mungu kwa kweli wataweza kuthibitisha kwamba Yule anayeweza kufanya kazi hii na kumimina tabia hizi ndiye Mkuu juu ya vitu vyote, na pia wanaweza kujua kwa kweli kuhusu utambulisho wa Mungu, hadhi Yake na kiini Chake, na hivyo kuthibitisha kwamba Kristo wa siku za mwisho, Mwenyezi Mungu, ni Mungu Mwenyewe, wa kipekee.

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho

Pakua

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp