Christian Testimony Video | Kumpa Mungu Moyo Wangu

25/09/2020

Mhusika mkuu anapokuwa akishiriki katika maonyesho ya kwaya ya kanisa, anajawa na shauku na anafanya mazoezi kwa bidii sana mwanzoni. Lakini anapowekwa kwenye safu ya nyuma ambapo hataonekana, anaanza kutia bidii kidogo bila hata kujua, na wakati wa mazoezi, anayafanya kwa njia isiyo ya dhati bila kufanya kila awezalo. Upigaji picha za filamu unapomalizika tu ndipo anapogundua kwamba hajapata faida yoyote ya kuingia kwake katika uzima na kisha anaanza kufadhaika na anatafakari juu yake mwenyewe. Anapata kufahamu kiasi tabia yake potovu kupitia hukumu ya maneno ya Mungu, kisha anahisi majuto na hatia kwa ajili ya jinsi ambavyo ameshindwa kutekeleza wajibu wake vizuri. Miezi michache baadaye, walihitaji kupiga picha za ziada za filamu. Je, anachukulia vipi mazoezi wakati huo? Je, anapata nini mwishowe?

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp