Full Swahili Christian Movie Based on a True Story | Kwenye Misheni

01/06/2020

Mkristo Chen Yixin amemwamini Bwana kwa miaka mingi, na amekuwa na bahati ya kutosha kukaribisha kurudi kwa Bwana Yesu katika siku za mwisho—Mwenyezi Mungu! Alikuja kuelewa mapenzi ya Mungu ya haraka ya kuwaokoa wanadamu kutoka kwa maneno ya Mwenyezi Mungu pamoja na misheni na wajibu ambao kiumbe aliyeumbwa anapaswa kutekeleza, hivyo alianza kushiriki injili na kushuhudia kazi ya Mungu katika siku za mwisho. Huku akifanya hivi anasafiri kwenye miji mingi na mikoa na anapitia ukandamizaji na kukataliwa toka miongoni mwa watu wa dini tena na tena na pia ufuatiliaji na mateso ya serikali ya CCP. Anavumilia mateso mengi. Hata hivyo, chini ya uongozo wa maneno ya Mungu, anasalia katika msheni yake, bila kuogopa hatari, kwa ujasiri akisonga mbele ...

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp