Christian Testimony Video | Sishindani Tena na Wengine | Sauti za Sifa 2026

24/01/2026

Alikuwa kiongozi wa kundi la wafanyaji maamuzi. Lakini alipokutana na ndugu na dada ambao walishiriki kuhusu ukweli kwa uwazi zaidi na waliokuwa na ufanisi zaidi katika wajibu wao, aliona wivu na kila mara alihisi msukumo wa kushindana nao. Hii haikufanya tu maisha yake kuwa ya taabu, bali pia iliathiri kazi ya kanisa. Kwa kula na kunywa maneno ya Mungu, alikuja kuelewa nini kuhusu tabia yake potovu? Na aliwezaje kubadilika?

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp