Dance of Praise | Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu

30/03/2019

Safi na mwaminifu, kama mtoto bila hatia,

mchangamfu na mwenye nguvu za ujana,

wao ni kama malaika wanaokuja ulimwenguni.

Bila udanganyifu, na mioyo iliyo wazi tu, wao ni waadilifu.

Wanatoa mioyo yao kwa Mungu na kupata imani Yake.

Wao ni watu waaminifu ambao Mungu anapenda.

Kuacha maneno ya Mungu yatuongoze kila siku,

tumebarikiwa na Roho Mtakatifu anatuongoza.

Tunakubali uchunguzi wa Mungu, tunaishi mbele Yake.

Kumpenda Mungu kweli ni kuwa na furaha.

Ufalme wa Kristo ni mbinguni kwa watu waaminifu.

Na ni nyumbani kwao kuzuri.

Wale wanaopenda ukweli wote wana mioyo ya uaminifu.

Tunafurahia kutenda ukweli.

Kwa kumtii Mungu mioyo yetu ina amani.

Tunamcha Mungu na kuepuka uovu, kuishi kwa maneno ya Mungu.

Tukiishi katika maneno ya Mungu tumewekwa huru.

Kumpenda Mungu ni kuwa na furaha kamili.

Kuacha maneno ya Mungu yatuongoze kila siku,

tumebarikiwa na Roho Mtakatifu anatuongoza.

Tunakubali uchunguzi wa Mungu, tunaishi mbele Yake.

Kumpenda Mungu kweli ni kuwa na furaha.

Ufalme wa Kristo ni mbinguni kwa watu waaminifu.

Na ni nyumbani kwao kuzuri.

Kumpenda Mungu huleta amani na furaha.

Tunaishi kwa urahisi tunapotenda kwa maneno ya Mungu.

Ni Mungu na ukweli pekee vilivyo moyoni mwetu.

Maneno ya Mungu yamekuwa maisha yetu yote.

Kuacha maneno ya Mungu yatuongoze kila siku,

tumebarikiwa na Roho Mtakatifu anatuongoza.

Tunakubali uchunguzi wa Mungu, tunaishi mbele Yake.

Kumpenda Mungu kweli ni kuwa na furaha.

Ufalme wa Kristo ni mbinguni kwa watu waaminifu.

Na ni nyumbani kwao kuzuri.

kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp