Ushuhuda wa Kweli | Nimebahatika Kumhudumia Mungu

02/11/2020

Kupata baraka na kuingia katika ufalme wa mbinguni ni malengo yanayofuatiliwa na waumini wengi, na mhusika mkuu katika video hii hajaachwa nyuma. Baada ya kukubali kazi ya Mungu ya siku za mwisho, anajitumia kwa ajili ya Mungu akiwa na imani tele na akiamini kwamba yeye ni mmoja wa waliotangulia kuinuliwa mbele za Mungu na kwamba hakika ataweza kuingia katika ufalme wa mbinguni ili kufurahia baraka pamoja na Mungu. Lakini hakuwahi kufikiri kwamba Mungu atatamka maneno mapya yanayowafunua wateule wa Mungu nchini China kama watendaji huduma ambao watatupwa kwenye shimo lisilokuwa na mwisho ili waangamie mara huduma yao itakapoisha. Ndoto yake ya kubarikiwa na kuingia katika ufalme wa mbinguni inavunjwa mara moja na anashindwa na mateso na usafishaji mkali…. Je, anaacha vipi uhasi wake na kutii utawala na mipango ya Mungu? Na anapataje kufurahia kumhudumia Mungu? Tazama Nimebahatika Kumhudumia Mungu ili ujue.

Tazama zaidi

Ikiwa una matatizo au maswali yoyote katika imani yako, tafadhali wasiliana nasi wakati wowote.

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp