Wimbo wa Kwaya ya Injili | “Mungu Anatengeneza Kesho Nzuri Zaidi kwa Binadamu” | Sauti za Sifa 2026

18/01/2026

1

Ningewatunuku matunda Yangu ya thamani wale wakulima wa Kanaani wenye bidii wanaokaribisha kurudi Kwangu kwa bidii na shauku. Natamani tu mbingu zidumu milele, na, zaidi ya hayo, mwanadamu asiwe mzee kamwe, mbingu na mwanadamu wapate kupumzika milele, na ile "misonobari na mivinje" yenye majani mwaka mzima iandamane na Mungu, na daima iandamane na mbingu katika kuingia kwenye enzi iliyo bora pamoja.

2

Ninampa mwanadamu hatima yake, Ninamwachia mwanadamu utajiri Wangu wote, Ninanyunyiza uzima Wangu miongoni mwa binadamu, Ninapanda mbegu ya uzima Wangu katika shamba la moyo wa mwanadamu, Ninamwachia kumbukumbu za milele, Ninamwachia binadamu upendo Wangu wote, na Ninampa mwanadamu yote anayothamini sana Kwangu. Tayari Nimempa mwanadamu kila kitu Changu. Tayari Nimemwachia mwanadamu uzima Wangu wote, na bila neno lolote, Nimefanya kazi kwa bidii ili kulima shamba zuri la upendo kwa binadamu; Sijawahi hata kufanya matakwa yoyote ya haki kwa mwanadamu, na Sijafanya chochote ila kutii tu mipangilio ya mwanadamu na kutengeneza kesho nzuri zaidi kwa ajili ya binadamu.

kutoka katika Neno, Vol. 1. Kuonekana na Kazi ya Mungu. Kazi na Kuingia (10)

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp