Christian Testimony Video | Jaribu la Foili (Swahili Subtitles)

07/10/2020

Wote wanaomwamini Mungu kwa kweli hutamani sana kuokolewa na kuingia katika ufalme wa mbinguni na mhusika mkuu katika video hii hajaachwa nyuma. Baada ya kuanza kuamini, anajitumia kwa shauku, anateseka na kulipa gharama ili tu aingie katika ufalme wa mbinguni. Anafikiri kwamba kwa kuwa na ufuatiliaji kama huu, atapata kibali cha Mungu, ataingia katika ufalme Wake na kuwa mmoja wa watu wa ufalme wa Mungu. Lakini anapoona maneno ya Mungu yanayowafunua watu wa China kama foili tu wa kazi ya Mungu na kwamba bila kupata uzima katika imani yao, hatimaye wataondolewa, anapoteza tumaini lote la kupata baraka na anatumbukia katika mateso ya utakaso…. Mwishowe, anaelewaje maana ya kweli ya kuwa foili kupitia mwongozo wa maneno ya Mungu na kushinda majaribu haya? Tazama Jaribu la Foili ili ujue.

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Leave a Reply

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp