“Maskani Yangu Yako Wapi” | God gave me a happy family | Swahili Christian Family Movie

23/01/2018

Wazazi wa Wenya walitengana alipokuwa na umri wa miaka miwili, na baada ya hapo aliishi na baba yake na mama wa kambo. Mamake wa kambo hakuweza kumvumilia na daima alikuwa akibishana na baba yake. Alikuwa na chaguo dogo — alilazimika kumpeleka Wenya nyumbani kwa mama yake, lakini mama yake alilenga kikamilifu kuendesha biashara yake na hakuwa na muda wa kumtunza Wenya, hivyo mara nyingi alipelekwa nyumbani kwa jamaa na marafiki zake kupata ulezi. Baada ya miaka mingi sana ya maisha ya kutunzwa na walezi, Wenya alihisi upweke na asiyejiweza, na alitamani ukunjufu wa nyumbani. Ni wakati tu ambapo baba yake na mama wa kambo walitangua ndoa ndipo alirudi upande wa baba yake, na kuanzia hapo na kuendelea alikuwa na nyumbani, wakati mzuri au mbaya. Mara Wenya alipokua, alikuwa mwangalifu na mtiifu sana, na alisoma kwa bidii. Lakini wakati ule ule alipokuwa akitia bidii ili kujiandaa kwa ajili ya mitihani yake ya kuingilia chuo, msiba ulimfika: mama yake alikuwa na hemoraji ya ubongo na akapooza na kuwa mgonjwa kitandani. Babake wa kambo alimtelekeza mama yake na hata kuchukua udhibiti juu ya mali yake yote, na kisha babake akapelekwa hospitalini kwa ajili ya saratani ya ini... Wenya hangeweza kabisa kujitwisha mzigo wa kaya, hivyo yote ambayo angeweza kufanya ni kuwasihi jamaa na marafiki, lakini alikataliwa. ...

Wakati ule ule Wenya alipokuwa akiteseka na bila msaada, dada wawili kutoka Kanisa la Mwenyezi Mungu waliwatolea Wenya, mama na dadake ushuhuda juu ya kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho. Walikuja kuelewa kiini cha maumivu katika maisha ya watu kutoka katika maneno ya Mwenyezi Mungu, na kuelewa kwamba ni wakati tu ambapo watu huja mbele ya Mungu ndiyo wanaweza kupata ulinzi wa Mungu na kuishi katika furaha. Ni kwa kupitia tu faraja ya maneno ya Mungu ndiyo mama na mabinti waliweza kutoka katika maumivu na kutojiweza kwao. Wenya kwa kweli alipitia upendo na huruma ya Mungu; hatimaye alihisi ukunjufu wa nyumbani, na akaja katika maskani ya kweli. ...

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp