Makala ya hivi Karibuni

Ushuhuda wa Matukio ya Maisha

Zaidi

Ubora Duni wa Tabia Sio Kisingizio

Na Zhuiqiu, China Hapo zamani, kila wakati nilipokabiliwa na shida fulani wakati wa kutekeleza wajibu wangu, au nilifanya kazi yangu vibaya, nilidhan…

Tazama zaidi

Ushuhuda wa Washindi

Zaidi

Mungu Ni Nguvu Yangu Katika Maisha

Na Xiaohe, Mkoa wa Henan Katika kile kilichohisi kama kufumba na kufumbua, nimemfuata Mwenyezi Mungu kwa miaka 14. Katika miaka hii yote, nimepitia m…

Tazama zaidi

Ushuhuda wa Kumrudia Mungu

Zaidi

Kuja Nyumbani

Na Muyi, Korea ya Kusini “Upendo mwingi wa Mungu amepewa binadamu kwa ukarimu, unamzunguka binadamu; binadamu ni mnyofu na asiye na hatia, aliye huru…

Fumbo la Utatu Linafichuliwa

Na Jingmo, Malaysia Nilikuwa na bahati katika mwaka wa 1997 kukubali injili ya Bwana Yesu na nilipobatizwa, mchungaji aliomba na kunibatiza kat…

Bahati na Bahati Mbaya

Kama haingekuwa kwa ajili ya ugonjwa wangu ambao umenizuia kutafuta umaarufu na kupata, bado ningekuwa mashine ya kutengeneza fedha duniani. Ningekuwa kipofu kwa hili mpaka uharibifu wa Shetani uniue. Shetani alinidhuru mimi kwa kutumia umaarufu, faida, na magonjwa. Kinyume na hilo, Mwenyezi Mungu alitumia ugonjwa yangu kunileta mbele Yake. Kupitia kwa maneno Yake, niliona wazi kwamba Shetani anahusika na upotovu wa mwanadamu. Niliona pia wazi jinsi ilivyo vibaya na cha kudharauliwa kwa Shetani kutumia umaarufu na faida kuwameza watu. Hatimaye nilikuwa katika nafasi ya kutupa mbali pingu za umaarufu na faida na kuanzisha mtazamo sahihi wa maisha. Roho yangu iliwekwa huru. Mungu ni mwenyezi sana na mwenye busara!

Tazama zaidi

Imani na Maisha

Zaidi
Tazama zaidi