148 Kuingia Katika Enzi ya Kumpenda Mungu

1

Kuna Mwana wa Adamu ambaye ni Mungu mwenye mwili.

Husonga kwa upendo kuiamsha mioyo ya mamilioni.

Ndiye mpendwa wa watu wote wa Mungu.

Ni nani asingetarajia kumpenda kweli?

Anamtengenezea mwanadamu njia ya kuenda ufalme wa mbinguni.

Ufalme wa Kristo umekuja duniani.

Wote wanakuja kumwabudu, Kristo wa siku za mwisho,

Mungu Mwenyezi, ambaye upendo Wake watufanya sote tufurahie.

Mungu hutamka maneno Yake, kibinafsi Anamwongoza mwanadamu.

Kupitia maneno ya Mungu, mwanadamu anatakaswa.

Hakuna huzuni tena! Hakuna machozi tena!

Binadamu wanavuka kuingia Enzi ya Ufalme,

enzi ya kumpenda Mungu!

Ukitaka kupata ukweli, lazima usome maneno ya Mungu,

na lazima umpende kwa dhati, utoe moyo wako wa kweli,

umpe kila kitu chako, na utimize wajibu wako wote.

Fanya yote haya kumridhisha, kumridhisha Mungu.

2

Mungu hutamka maneno Yake, kibinafsi Anamwongoza mwanadamu.

Kupitia maneno ya Mungu, mwanadamu anatakaswa.

Hakuna huzuni tena! Hakuna machozi tena!

Binadamu wanavuka kuingia Enzi ya Ufalme,

enzi ya kumpenda Mungu!

Ili kumpenda Mungu, lazima uyafikirie

mapenzi Yake, ujitole kabisa,

uishi kwa kuudhihirisha uhalisi wa ukweli na mfano wa kweli wa binadamu,

kisha utakuwa na upendo na baraka za Mungu!

Mungu hutamka maneno Yake, kibinafsi Anamwongoza mwanadamu.

Kupitia maneno ya Mungu, mwanadamu anatakaswa.

Hakuna huzuni tena! Hakuna machozi tena!

Binadamu anavuka kuingia Enzi ya Ufalme,

enzi ya kumpenda Mungu!

Iliyotangulia: 147 Wimbo wa Upendo wa Dhati

Inayofuata: 149 Nitaukaribisha Uso Wako Unaotabasamu Utakapoonekana Mbele Yangu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp