147 Wimbo wa Upendo wa Dhati

1

Kuna Mmoja ambaye ni Mungu mwenye mwili.

Yote Anayosema, yote Anayofanya, ni ukweli.

Napenda sana haki Yake, hekima Yake.

Kumwona, kumtii, hakika ni baraka.

Moyo Wake na upendo Wake vimenishinda.

Sasa namkimbilia, sitafuti tena.

Kwa kumshuhudia, navumilia taabu lakini nahisi utamu.

Nampenda mpendwa wangu na ni mwaminifu Kwake.

2

Nimempa upendo wangu, nami nina furaha.

Kutoa yote yangu, kumuishia Yeye, ni maisha yangu.

Kuweza kumpenda na kumtumikia ni heshima.

Tamanio la Mungu ni kwa sisi kumtangaza na kumshuhudia.

Nawaza mawazo Yake, kujali wasiwasi Wake, kuufikiria moyo Wake.

Idhini Yake, kuridhika Kwake, ni tamanio langu la pekee.

Nitakuwa mtumishi katika nyumba ya Mungu na kutimiza wajibu wangu.

Kuwa na ushuhuda kwa Mungu na kumpa utukufu ni furaha ya kweli.

Moyo Wake na upendo Wake vimenishinda.

Sasa namkimbilia, sitafuti tena.

Kwa kumshuhudia, navumilia taabu lakini nahisi utamu.

Nampenda mpendwa wangu na ni mwaminifu Kwake.

Iliyotangulia: 146 Pamoja Kupitia Katika Upepo na Mvua Uaminifu Mpaka Kifo

Inayofuata: 148 Kuingia Katika Enzi ya Kumpenda Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp