Kipindi 12, Ripoti Maalum Kuhusu Maisha ya Kanisa: Tamasha la Maonyesho Mbalimbali la Mwaka Mpya wa 2026 "Sauti za Sifa": Ripoti ya Ufuatiliaji (Sehemu ya 2)

10/02/2026

Ripoti hii ya ufuatiliaji inaangazia Wakristo wa Kanisa la Mwenyezi Mungu kutoka nchi mbalimbali za Ulaya, Oshenia, Afrika, Amerika, na Asia, ikiwasilisha tafakari zao za dhati baada ya kutazama tamasha la maonyesho mbalimbali la "Sauti za Sifa" Siku ya Mwaka Mpya 2026. Kupitia matukio ya papo hapo na mahojiano, kipindi kinawapeleka watazamaji ndani ya ulimwengu wa ndani wa Wakristo hawa, kikiwapa watazamaji hisia ya uzoefu na faida zao kutokana na onyesho. Wakati huo huo, kipindi hiki kitatangaza maonyesho kumi yaliyopendwa zaidi katika onyesho la aina mbalimbali la Mwaka Mpya wa 2026, kikijumuisha kile Wakristo walichohisi kwa dhati baada ya kuyatazama. Hebu tuchunguze pamoja maonyesho haya yanayopendwa sana, na tujue ni kwa nini yaliweza kuwagusa watu kwa kina hivyo.

00:11 Maelezo ya Mwenyeji

04:30 Maoni kuhusu Onyesho kutoka kwa Wakristo wa Kanisa la Mwenyezi Mungu huko Amerika

12:04 Maoni kuhusu Onyesho kutoka kwa Wakristo wa Kanisa la Mwenyezi Mungu huko Asia

14:17 Kutaja Onyesho la Nafasi ya 5 na Maoni ya Watazamaji (Ushuhuda wa Kupitia: "Sishindani Tena na Wengine"—Tazama Toleo Kamili: • Christian Testimony Video | Sishindani Tena na Wengine | Sauti za Sifa 2026 )

18:43 Kutaja Onyesho la Nafasi ya 4 na Maoni ya Watazamaji (Kwaya ya Ulimwengu ya Watu Wateule wa Mungu: "Ufalme wa Mungu Umeonekana Duniani"—Tazama Toleo Kamili: • Wimbo wa Kwaya ya Injili | “Ufalme wa Mungu Umeonekana Duniani” | Sauti za Sifa 2026 )

24:26 Kutaja Onyesho la Nafasi ya 3 na Maoni ya Watazamaji (Ushuhuda wa Kupitia: "Mfungwa wa Familia Yangu Mwenyewe"—Toleo Kamili Kutoka Tamasha la Maonyesho Mbalimbali "Sauti za Sifa," Kipindi cha 2: • Tamasha la Maomnyesho Mbalimbali ya Kanisa la Kikristo | Sauti za Sifa, Kipindi cha 2 Muda: 41: 21-1:00:56)

29:07 Kutaja Onyesho la Nafasi ya 2 na Maoni ya Watazamaji (Densi: "Watu Wote wa Mungu Wamsifu Mwenyezi Mungu"—Tazama Toleo Kamili: • Christian Dance | Watu Wote wa Mungu Wamsifu Mwenyezi Mungu | Sauti za Sifa 2026 )

34:30 Kutaja Onyesho la Nafasi ya 1 na Maoni ya Watazamaji (Wimbo wa Maneno ya Mungu: "Moyo Mwaminifu kwa Ajili ya Mungu"—Tazama Toleo Kamili: • Wimbo wa Injili | Moyo Mwaminifu kwa Ajili ya Mungu (Music Video) | Sauti za Sifa 2026 )

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp