Kipindi 05, Ukweli Kuhusu Mateso ya Kikatili ya CCP Dhidi ya Wakristo: CCP Chazindua "Vita Vigumu vya Miaka Mitatu" ili Kuliangamiza Kanisa la Mwenyezi Mungu
07/02/2026
"Vita vya Jumla" vya miaka mitatu vya kutia kichaa vya CCP (Septemba 2020 hadi Agosti 2023) vilishindwa kufikia lengo lake la kuharibu na kuliangamiza Kanisa la Mwenyezi Mungu. Badala yake, Kanisa lilikua haraka nchi za nje, likipanuka katika zaidi ya nchi 100. Hili lilifanya CCP kiwe na hasira na mpagao hata zaidi, na kikazindua kampeni mpya. Mnamo Agosti 2023, Tume Kuu ya Masuala ya Kisiasa na Kisheria ya CCP ilitoa hati nyingine ya siri, ikichukulia ukandamizaji na uangamizaji wa Kanisa la Mwenyezi Mungu na kukamatwa kwa washiriki wake kama suala la usalama wa taifa na kutafuta vita vya mwisho, na vya maamuzi: "Vita Vigumu vya Miaka Mitatu" (Januari 2024 hadi Desemba 2026). Tangu "Vita Vigumu" hivi vianze, angalau Wakristo 37,655 kutoka Kanisa la Mwenyezi Mungu wamekamatwa kote China. Ripoti hii itafichua ukweli wa ukandamizaji wa kutia kichaa wa CCP dhidi ya Wakristo wa Kanisa katika miaka miwili ya kwanza ya "Vita Vigumu."
00:18 CCP Chazindua "Vita Vigumu vya Miaka Mitatu" ili Kuliangamiza Kanisa la Mwenyezi Mungu
00:58 Tume Kuu ya Masuala ya Kisiasa na Kisheria ilitoa hati nyingine ya siri: "Mpango wa Jumla wa Kazi wa Kuzidisha Ukandamizaji na Kushughulikia Shirika la 'Mwenyezi Mungu' XX"
02:02 Mateso ya CCP dhidi ya Kanisa la Mwenyezi Mungu: Malengo Manne Muhimu na Kazi Sita Muhimu za Uchukuliaji Hatua Kali
05:10 CCP Chazindua "Vita Vigumu vya Miaka Mitatu" ili Kuliangamiza Kanisa la Mwenyezi Mungu: 2024—Angalau Wakristo 19,053 Wakamatwa
13:59 CCP Chazindua "Vita Vigumu vya Miaka Mitatu" ili Kuliangamiza Kanisa la Mwenyezi Mungu: 2025—Angalau Wakristo 18,602 Wakamatwa
27:43 CCP Chazindua "Vita Vigumu vya Miaka Mitatu" ili Kuliangamiza Kanisa la Mwenyezi Mungu: Kazi Muhimu za Mateso kwa 2026
29:57 CCP Chazindua "Vita Vigumu vya Miaka Mitatu" ili Kuliangamiza Kanisa la Mwenyezi Mungu