Ukweli Kuhusu Mateso ya Kikatili ya CCP Dhidi ya Wakristo | Rekodi ya Ukweli ya Mateso ya Kikatili ya CCP Dhidi ya Wakristo (Sehemu ya 2)

15/12/2025

Tangu kingie mamlakani, CCP kimeanzisha harakati za kisiasa zisizohesabika ili kukashifu, kupotosha, na kuharibu sifa ya imani ya kidini. Kimeifanya imani ikisiwe kuwa ya ovu, kikichochea jamii yote kuwa na uadui dhidi ya dini. Viongozi wa chama, mmoja baada ya mwingine wametoa msururu wa sera za ukandamizaji ili kuondoa imani ya kidini, wakiilazimisha ipitie mateso na ukandamizaji wa kinyama. Zaidi ya miaka 70 ya utawala wa CCP umesababisha uharibifu mkuu kwa fikira, maadili, na imani za watu wa China. Hili halijaleta tu maafa kwa Wakristo, bali pia limevitumbukiza vizazi vya wananchi wa China katika majanga ya kuangamiza. Leo, tutaendelea kufichua na kufuatilia sera na mbinu za kinyama ambazo CCP hutumia kukandamiza na kutesa imani ya kidini, na kuwachanganulia zaidi kiini chake cha upingaji wake maendeleo, kinyume na ubinadamu, na kiovu.

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Leave a Reply

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp