Kipindi 07, Ripoti ya Moja kwa Moja Kuhusu Maisha ya Kanisa: Ushuhuda wa Kupitia wa Wakristo Katika Kanisa la Ufilipino: Jinsi Hukumu ya Maneno ya Mungu Huwaweka Huru Kutoka kwa Minyororo ya Umaarufu, Faida, na Hadhi
06/01/2026
Wakristo katika Kanisa la Mwenyezi Mungu nchini Ufilipino wamesikia sauti ya Mungu na wamekuja mbele ya kiti Chake cha enzi kwa kujisalimisha. Wananunyiziwa, wanapewa riziki, na wanachungwa kibinafsi na Mwenyezi Mungu, na wamehudhuria karamu ya ufalme wa mbinguni. Wanakubali hukumu na utakaso wa maneno ya Mungu, na wamekuja kutambua kwamba tabia zao potovu ndicho chanzo kikuu cha dhambi zao na kwamba kufuatilia umaarufu, faida na hadhi ni njia isiyo sahihi. Wametubu kweli na wameanza kutekeleza wajibu wa kiumbe aliyeumbwa kwa njia ya kutenda mambo halisi. Wameona tumaini la kuokolewa.
00:26 Mambo Muhimu
00:57 Maelezo ya Mwenyeji
04:59 Mwanahabari Eneo la Tukio
06:33 Onyesho la Densi: "Furaha Iliyoje Katika Maisha ya Kanisa"
08:06 Kusoma Maneno ya Mwenyezi Mungu
15:23 Dada May Ashiriki Uzoefu Wake: Jinsi ya Kuwatendea Watu Walio Bora Kuliko Mimi
29:34 Wimbo wa Maneno ya Mungu: "Katika Enzi ya Ufalme Mungu Anakamilisha Mwanadamu Kwa Maneno"
30:26 Dada Noe Ashiriki Uzoefu Wake: Kutoka Kujizuia Hadi Kujitolea Kikamilifu, Sitafuti Tena Kuwa Mtu Pekee Anayeng'aa