Kipindi 08, Ripoti Maalum Kuhusu Maisha ya Kanisa: "Sauti za Sifa" Ripoti Maalum ya Tamasha la maonyesho mbalimbali (Sehemu ya 1)
30/12/2025
Ripoti hii maalum inaangazia kipindi cha pili cha "Sauti za Sifa," tamasha la Siku ya Mwaka Mpya la 2026. Likiandaliwa na Kanisa la Mwenyezi Mungu, "Sauti za Sifa" ni tamasha kubwa linalowaleta pamoja Wakristo kutoka nchi za Ulaya, Oshenia, Afrika, Amerika, na Asia. Ripoti hii inaonyesha upitiaji halisi wa Wakristo wa Kanisa la Mwenyezi Mungu wakati wa maandalizi na ushiriki wao katika wimbo, densi, ushuhuda na maonyesho mengine. Nyuma ya kila onyesho, kuna ushuhuda mzuri wa watu wateule wa Mungu wakipitia kazi ya Mungu na kukua katika uzima.
00:10 Maelezo ya Mwenyeji
04:39 Kuonyesha Furaha na Msisimko wa Kushiriki katika Tamasha la Maonyesho Mbalimbali
06:34 Kushinda Matatizo katika Mazoezi ya Mwisho Chini ya Uongozi wa Maneno ya Mungu
14:55 Kutambua Tabia Potovu na Kutenda Ukweli Wakati wa Mazoezi
21:33 Kuelewa Nia za Mungu Wakati wa Mazoezi
26:57 Ujumbe Kutoka kwa Wenyeji
29:22 Wakristo Kutoka Kanisa la Mwenyezi Mungu Kote Ulimwenguni Wamshukuru Mungu