Kipindi 06, Ripoti ya Moja kwa Moja Kuhusu Maisha ya Kanisa: Uzoefu wa Wakristo Kanisani Huko Ufaransa: Masharti ya Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni
24/12/2025
Kanisa la Mwenyezi Mungu huko Ufaransa wamepata njia ya utendaji ya kuwa watu waaminifu kulingana na maneno ya Mungu. Ingawa wanakumbana na vikwazo na kushindwa katika mchakato wa kuwa watu waaminifu, hawakati tamaa. Badala yake, wanatafuta ukweli kwa bidii. Chini ya mwongozo wa maneno ya Mwenyezi Mungu, wanakuja kujijua, wanatubu kwa Mungu, na kutenda kulingana na mahitaji Yake. Wanaanza na sentensi moja, na kitendo kimoja kidogo, na hatimaye kuweza kujiweka wazi na kuzungumza kwa dhati. Wanasema uongo na kudanganya kwa kiasi kidogo, na wanakuwa na mfano wa mtu mwaminifu zaidi na zaidi. Pia wameonja amani na furaha inayotokana na kuwa mtu mwaminifu, na wamejawa na imani na matumaini ya kuokolewa na kuingia katika ufalme wa mbinguni.
00:27 Mambo Muhimu
01:07 Maelezo ya Mwenyeji
06:49 Mwanahabari Eneo la Tukio
08:23 Wimbo na Densi ya Sifa
10:23 Kutazama Makala Kubwa ya Filamu ya Hali Halisi ya Muziki: Yule Anayeshikilia Ukuu juu ya Kila kitu
11:58 Kusoma Maneno ya Mwenyezi Mungu
17:51 Ndugu Mathieu Ashiriki Uzoefu Wake: Njia Nne za Utendaji za Kutupa Mbali Unafiki na Kuwa Mtu Mwaminifu
29:33 Dada Jessie Ashiriki Uzoefu Wake: Maneno ya Mwenyezi Mungu Yameniongoza Kupata Mwelekeo Wangu Maishani
36:33 Dada Elina Ashiriki Uzoefu Wake: Ni Watu Waaminifu Pekee Ndio Wanaompendeza Mungu
43:57 Kuimba Wimbo wa Maneno ya Mungu: "Mungu Anatamani Wanadamu Watafuatilia Ukweli na Waendekee Kuishi"