Kipindi 13, Ripoti ya Moja kwa Moja Kuhusu Maisha ya Kanisa: Shuhuda za Kupitia Kutoka Kanisa Moja Mashariki ya Kenya: Ipo Njia ya Kutakaswa Dhambi
18/02/2026
Wakristo kutoka Kanisa la Mwenyezi Mungu nchini Kenya wamekubali hukumu na kuadibu kwa maneno ya Mwenyezi Mungu. Wamekuja kujua tabia zao wenyewe potovu na chanzo cha kutenda kwao dhambi, na pia wamepata maarifa fulani ya kweli ya kazi ya Mungu na tabia Yake. Wanajinasua polepole kutoka katika utumwa wa asili yao ya dhambi na wameanza kuitembea njia ya kufuatilia ukweli ili waokolewe na kuingia katika ufalme wa mbinguni.
00:27 Mambo Muhimu
00:56 Maelezo ya Mwenyeji
03:25 Mwanahabari Eneo la Tukio
04:20 Wimbo wa Kanisa: "Upendo wa Mungu Hutuleta Karibu Zaidi Pamoja"