Kipindi 10, Ripoti ya Moja kwa Moja Kuhusu Maisha ya Kanisa: Ushuhuda wa Uzoefu Kutoka Kanisa la Kanada: Hukumu ya Mungu ni Nuru ya Wokovu

14/01/2026

Wakristo wa Kanisa la Mwenyezi Mungu nchini Kanada wameikubali kazi ya Mwenyezi Mungu, na wamepitia hukumu na kuadibu kwa maneno Yake. Wametafakari na kuzitambua tabia zao potovu kutoka katika maneno Yake, na kwa kutenda kulingana na maneno ya Mungu, wametupa mbali polepole tabia hizo potovu. Kwa njia hii, wamejinasua kutoka kwa utumwa wa asili yao ya dhambi na wameanza kuishi katika nuru. Wamekuja kuhisi kwamba kuadibu na hukumu ya Mungu ndiyo nuru ya wokovu kwa wanadamu, na kwamba ni kwa kukubali tu hukumu na utakaso wa Mungu ndiyo wanaweza kufikia wokovu na kuingia katika ufalme wa Mungu.

00:10 Mambo Muhimu

01:02 Maelezo ya Mwenyeji

04:11 Mwanahabari Eneo la Tukio

05:55 Kuimba Wimbo wa Sifa: "Wimbo wa Uhusiano Wetu wa Karibu"

10:35 Kusoma Maneno ya Mwenyezi Mungu

16:06 Dada Cindy Ashiriki Uzoefu Wake: Kwa Kusoma Maneno ya Mungu, Nilipata Njia ya Kutupa Mbali Asili Yangu ya Dhambi

25:33 Ndugu Ian Ashiriki Uzoefu Wake: Unaweza Tu Kutupa Mbali Utumwa wa Umaarufu na Faida kwa Kukubali Hukumu ya Maneno ya Mungu

38:50 Mahojiano ya Papo kwa Papo

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp