Ripoti ya Moja kwa Moja Kuhusu Maisha ya Kanisa | Wakristo Wenye Furaha Katika Kanisa la Mwenyezi Mungu Nchini Brazili Wafurahia Maisha ya Kanisa ya Enzi Mpya

07/11/2025

Wakati wa mkutano wao, Wakristo kutoka Kanisa la Mwenyezi Mungu nchini Brazili waliimba nyimbo za sifa, walicheza, na kukariri maneno ya Mungu, wakionyesha shukrani na sifa zao kwa Mwenyezi Mungu. Walishiriki uzoefu wao wa jinsi walivyotegemea maneno ya Mungu kushinda magumu mbalimbali—kama vile kuchanganyikiwa katika imani yao, matatizo ya familia, na magonjwa ya wapendwa wao—na walihisi kikweli nguvu ambayo maneno ya Mungu yaliwapa. Wakristo waliohudhuria wote waliguswa na uzoefu huu wa kweli. Kila mtu alihisi amepata kitu, na walifurahia neema na furaha ya maisha ya kanisa ya Enzi ya Ufalme.

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp