Tamasha la Maomnyesho Mbalimbali ya Kanisa la Kikristo | Sauti za Sifa, Kipindi cha 2

07/01/2026

00:21 "Ufalme wa Mungu Umeonekana Duniani"—Onyesho la Kwaya ya Ulimwengu la Watu Wateule wa Mungu

10:26 "Watu Wote wa Mungu Wamsifu Mwenyezi Mungu"—Onyesho la Densi

20:54 "Mungu Anatafuta Moyo Wako na Roho Yako"—Onyesho la Kwaya Kutoka Kanisa la Milan na Kanisa la Brescia (Italia)

26:54 "Moyo Mwaminifu kwa Ajili ya Mungu"—Onyesho la Uimbaji wa Muziki Kutoka Kanisa la California Kaskazini (Marekani)

33:46 "Hisia za Dhati za Muumba Kuelekea Binadamu"—Onyesho la Muziki wa Watu Wawili Kutoka Kanisa la Chimborazo na Kanisa la Esmeraldas (Ecuador)

41:21 "Mfungwa wa Familia Yangu Mwenyewe"—Ushuhuda wa Maisha ya Imani kutoka Kanisa la Chiang Mai (Thailand)

01:00:58 Watu Kote Ulimwenguni wajifunza Kichina: Ukariri wa Maneno ya Mungu kwa Kichina wa "Ni Kristo wa Siku za Mwisho Pekee Ndiye Anayeweza Kumpa Mwanadamu Njia ya Uzima wa Milele" na Onyesho la Kwaya la "Hakuna Moyo Ulio Bora Kuliko wa Mungu"

01:14:35 "Katika Nuru ya Upendo wa Mungu"—Onyesho la Wimbo Asilia Kutoka Kanisa la Washington (Marekani)

01:19:59 "Sifa kwa Mwenyezi Mungu Haitakoma Kamwe"—Onyesho la Solo Kutoka Kanisa la Essonne (Ufaransa)

01:29:09 "Mungu Anatengeneza Kesho Nzuri Zaidi kwa Binadamu"—Onyesho la Kwaya Kutoka Kanisa la Pangasinan (Ufilipino)

01:32:01 "Mungu Anatamani Watu Zaidi Wapokee Wokovu Wake"—Onyesho la Solo Kutoka Kanisa la Zhytomyr (Ukraini)

01:36:32 "Ulimwengu Unavuma kwa Sauti ya Sifa kwa Mungu"—Onyesho la Densi Kutoka Kanisa la Patiala (India)

01:42:03 "Sishindani Tena na Wengine"—Ushuhuda wa Kupitia Kutoka Kanisa la Salerno (Italia)

02:11:10 "Watu Wanapaswa Kutatuaje Kutoelewa Kwao Kuhusu Mungu?"—Onyesho la Pamoja ya Muziki Kutoka Kanisa la New Taipei (Taiwan)

02:16:46 "Ni Lazima Mfuatilie Ukweli Ili Kusalia"—Onyesho la Muziki wa Watu Wawili Kutoka Kanisa la Toronto na Kanisa la Ontario (Kanada)

02:25:00 "Hukumu ya Mungu kwa Mataifa na Watu Wasiohesabika"—Onyesho la Kwaya Kutoka Kanisa la Florida (Marekani)

02:28:58 Watu Kote Ulimwenguni wajifunza Kichina: Ukariri wa Maneno ya Mungu kwa Kichina wa "Kufikia Utakapouona Mwili wa Kiroho wa Yesu, Mungu Atakuwa Ametengeneza Upya Mbingu na Dunia" na Onyesho la Kwaya la "Zingatia Hatima ya Wanadamu"

02:35:41 "Uhai wa Viumbe Vyote Hutoka kwa Mungu"—Onyesho la Densi

02:43:33 "Mwenyezi Mungu Ameketi katika Kiti Tukufu Cha Enzi"—Onyesho la Solo Kutoka Kanisa la Toluca na Kanisa la Huauchinango (Meksiko)

02:49:20 "Sijutii Chaguo Hili"—Ushuhuda wa Kupitia Kutoka Kanisa la Pangasinan (Ufilipino)

03:19:46 "Heri Wanaompenda Mungu"—Onyesho la Solo Kutoka Kanisa la Incheon (Korea Kusini)

03:26:31 "Maneno Yote ya Mungu ni Ukweli"—Onyesho la Muziki wa Watu Wawili Kutoka Kanisa la Guinea ya Ekweta

03:30:37 "Ufalme Wa Kristo Ni Makao Yenye Joto"—Onyesho la Densi

03:35:46 "Sote Tuweze Kujua Uzuri wa Mungu"—Onyesho la Pamoja ya Muziki Kutoka Kanisa la Malaysia Magharibi na Kanisa la Malaysia Mashariki

03:41:03 "Ni Mungu tu Ana Njia ya Uzima"—Onyesho la Kwaya la Wimbo wa Sifa Kichina Ukiimbwa na Makanisa Kutoka Ufilipino, India, Indonesia, Korea Kusini, Mongolia, na Thailand

03:45:58 "Kristo wa Siku za Mwisho Ameleta Enzi ya Ufalme"—Onyesho la Kwaya Kutoka Kanisa la Guaca (Venezuela)

03:51:09 "Je, Unajua Wito Wako?"—Onyesho la Solo Kutoka Kanisa la Uholanzi

03:57:41 "Jina la Mungu Hakika Litatukuzwa kama Kuu Miongoni mwa Mataifa"—Onyesho la Kwaya ya Ulimwengu la Watu Wateule wa Mungu

Tazama zaidi

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Shiriki

Ghairi

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp