168 Chaguo Lisilo na Majuto

1

Wakati ambapo kukamatwa na kuteswa kwa Wakristo na CCP kunazidi kuwa kwa ukatili.

jiji linapojawa na tisho la giza, na ninatorokea popote niwezapo,

uhuru unapofungwa katika gereza ya majonzi.

wakati ambapo mwenzi wangu wa pekee ni usiku mrefu wa maumivu,

sitatikisika katika imani yangu katika Mungu,

sitamsaliti Bwana wangu kamwe, Mungu wangu.

Mwenye uweza Mungu wa kweli, moyo wangu ni Wako.

Kufungwa gerezani kunaweza tu kuudhibiti mwili wangu.

Hakuwezi kuzuia nyayo zangu kukufuata.

Mateso ya kuumiza, barabara yenye mabonde,

kwa uongozi wa maneno Yako, moyo wangu hauna woga,

nikiwa na upendo Wako, moyo wangu unatosheka.

2

Mateso ya kuharibu ya pepo wa CCP yanapozidi kuwa makali sana,

uchungu wa kuunguza unaponipata tena,

udhaifu na uchungu wa mwili unapofikia kilele,

wakati wa mwisho, wakati ambapo maisha yangu yanakaribia kuchukuliwa,

sitajisalimisha kwa joka kubwa jekundu kamwe,

sitakuwa Yuda kamwe, alama ya aibu kwa Mungu.

Mwenye uweza Mungu wa kweli, nitakuwa mwaminifu Kwako hata kufa.

Pepo wanaweza tu kunitesa na kuumiza mwili wangu.

Uzima na kifo vitakuwa chini ya utawala Wako milele.

Nitaacha kila kitu ili kukushuhudia Wewe.

Iwapo inamletea Shetani aibu, nitakufa bila malalamiko.

Nina heshima kuishi kwa kukushuhudia.

Kiitikio

Kumfuata Kristo na kufuatilia kumpenda Mungu katika maisha haya kunaleta sifa!

Kwa moyo na roho, ninapaswa kumlipa Mungu; niko tayari kuachana na yote ili kushuhudia kumhusu Mungu.

Almradi ninaishi, kumpa Mungu maisha yangu yote ni chaguo ambalo sitajutia kamwe.

Iliyotangulia: 167 Nikiwa na Upendo wa Mungu, Sitaogopa

Inayofuata: 170 Ushuhuda wa Maisha

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp