Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

29 Dunia Inaanguka, Ufalme Unapata Umbo

1 Dunia inavunjika kila siku. Watu wanaangamia kila siku. Ufalme Wangu unapata umbo kila siku. Wana Wangu wazaliwa wa kwanza wanakua kila siku. Hasira Yangu inakua kila siku, kuadibu Kwangu kunakuwa kubaya zaidi kwa siku, na neno Langu linazidi kuwa kali kwa siku. Bado mnasubiri lugha Yangu juu yenu iwe yenye huruma, sauti Yangu iwe yenye ucheshi, fikiria tena! Inategemea ni nani Ninayemshughulikia. Kwa wale Niwapendao, sauti Yangu ni ya upole, daima inayofariji. Kwenu, Naweza tu kuwa mkali na mwenye hukumu, na kuongeza juu ya hayo kuadibu na hasira.

2 Bila kujua, hali katika kila nchi ya dunia inazidi kuwa ya fadhaa, kila siku zikivunjika, kila siku zikipata machafuko. Viongozi wa kila nchi wanatumai kushinda mamlaka mwishoni. Hawatarajii hili, lakini kuadibu Kwangu tayari iko juu yao. Wanajaribu sana kushika mamlaka Yangu, lakini wanaota tu! Ni Mimi pekee Ninayestahili kutawala juu ya vitu vyote. Kila kitu kinanitegemea Mimi. Nitawapiga mara moja wale wanaonichunguza kwa makini kwa sababu kazi Yangu tayari imefika hapa. Kila siku kuna ufunuo mpya, kila siku kuna mwanga mpya. Yote yanazidi kuwa kamili. Siku ya mwisho ya Shetani inakaribia zaidi na zaidi na kuzidi kuwa wazi zaidi kuliko hapo awali.

Umetoholewa kutoka katika “Sura ya 82” ya Matamko ya Kristo Mwanzoni katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu

Inayofuata:Msifu Mungu Ambaye Amerudi Akiwa Mshindi

Maudhui Yanayohusiana

 • Jinsi Upendo wa Mungu kwa Mwanadamu Ulivyo Muhimu

  Mandhari iliyochorwa katika Biblia "Amri ya Mungu kwa Adamu" ni ya kugusa na yenye kutia moyo. Ingawa hiyo picha ina Mungu na mtu tu, uhusiano kati ya…

 • Upendo Safi Bila Dosari

  1 Upendo ni hisia safi sana, safi bila dosari. Tumia moyo wako, tumia moyo wako kupenda na kuhisi na kutunza. Upendo hauweki masharti au vizuizi au ba…

 • Upendo wa Kweli

  1 Namrudia Mungu na kuuona uso Wake upendezao, nikiwa huru kutokana na udhibiti wa kaida za dini. Neno Lake linanijaza na raha na furaha kutoka kwa ne…

 • Mradi tu Usimwache Mungu

  Upendo na huruma za Mungu hupenyeza katika kila sehemu ya kazi ya usimamizi Wake, na bila kujali kama watu wanaweza kuelewa nia njema za Mungu, bado …