Programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Sikiliza sauti ya Mungu na ukaribishe kurudi kwa Bwana Yesu!

Tunawakaribisha wote wanaotafuta ukweli wawasiliane nasi.

Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

(Ma)tokeo ya Kutafuta 0

Hakuna matokeo yaliyopatikana

50. Kazi ya Mungu Inaendelea Kuboreshwa

I

Kazi ya Mungu inaendelea kuwa bora;

ingawa kusudi linabaki bila kubadilika,

mbinu ya kazi Yake inabadilika kila wakati,

na hivyo pia wale wanaomfuata.

Kadiri ambavyo Mungu anafanya kazi zaidi,

ndivyo mwanadamu anavyojua zaidi, anavyomjua kikamilifu,

ndivyo tabia ya mwanadamu inavyobadilika zaidi

pamoja na kazi Yake ifaavyo.

Kazi ya Mungu inaendelea kuboreshwa;

Kazi Yake kamwe sio mzee nan i mpya kila wakati.

Yeye harudii kamwe kazi ya zamani,

kazi tu ambayo haijafanywa awali ndiyo ile Atakayofanya.

II

Mungu hadumishi kazi ile ile;

inabadilika kila mara na ni mpya kila wakati.

Ni sawa na Mungu kunena maneno mapya

na kufanya kazi mpya kila siku kwako.

Hii ni kazi ambayo Mungu anafanya;

umuhimu upo katika "ajabu," "ajabu" na “mpya.”

"Mungu habadiliki na Yeye atakuwa Mungu kila wakati."

Huu ni msemo ambao hakika ni ukweli.

Kazi ya Mungu inaendelea kuboreshwa;

Kazi Yake kamwe sio mzee nan i mpya kila wakati.

Yeye harudii kamwe kazi ya zamani,

kazi tu ambayo haijafanywa awali ndiyo ile Atakayofanya.

III

Lakini kwani kazi ya Mungu inabadilika kila mara,

kwa wale wasiojua kazi ya Roho Mtakatifu,

na wanadamu wapumbavu wasiojua ukweli,

mwishowe wanakuwa wapinzani wa Mungu.

Kiini cha Mungu hakitabadilika kamwe;

Mungu ni Mungu kila wakati na kamwe sio Shetani.

Lakini hii haimaanishi kuwa kazi Yake haibadiliki,

na ipo daima kama kiini Chake.

Unasema kuwa Mungu habadiliki kamwe,

lakini utaeleza vipi "sio mzee kamwe, mpya kila wakati"?

Kazi ya Mungu inaendelea kua na kubadilika,

Anaonyesha mapenzi Yake na anayafanya yajulikane kwa mwanadamu pia.

Kazi ya Mungu inaendelea kuboreshwa;

Kazi Yake kamwe sio mzee nan i mpya kila wakati.

Yeye harudii kamwe kazi ya zamani,

kazi tu ambayo haijafanywa awali ndiyo ile Atakayofanya.

kazi tu ambayo haijafanywa awali ndiyo ile Atakayofanya.

kutoka kwa "Ni Jinsi Gani Mwanadamu Aliyemfafanua Mungu katika Dhana Zake Anaweza Kupokea Ufunuo wa Mungu?" katika Neno Laonekana katika Mwili

Iliyotangulia:Babeli Kuu Imeanguka

Inayofuata:Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Mungu

Maudhui Yanayohusiana