164 Sisi ni Mashahidi wa Kristo wa Siku za Mwisho

1

Wanadamu wameharibiwa kwa miaka elfu kadhaa na ni wa kuchukiza sana kuwatazama.

Kufuatilia umaarufu na utajiri na kuishi dhambini, tulipoteza ubinadamu na dhamiri yetu.

Tunayo bahati ya kuzaliwa katika siku za mwisho na kukaribisha kurudi kwa Mwokozi.

Tunaona kwamba kila neno la Mungu ni ukweli na mioyo yetu imeshindwa.

Kupitia hukumu na kuadibu, upotovu wetu unatakaswa.

Tunaamini kwa uthabiti kuwa Mungu ni ukweli na tunafuata nyayo Zake kwa makini.

Maneno ya Mungu yanatuongoza kupitia mateso na shida mbaya sana.

Tunapitia upendo mwingi wa Mungu, tunamfuata Mungu kwa nia thabiti.

Kupitia dhiki, tunapewa maisha mapya, na tunashuhudia ushuhuda wa ushindi.

Jua la haki limeonekana, sote ni mashahidi wa Mungu.

2

Mungu amekuwa mwili ili kumwokoa mwanadam na Yeye huvumilia fedheha kuu.

Yeye huvumilia kukataliwa na huvumilia suitafahamu bila malalamiko au majuto.

Sisi ni kama mavumbi, na kuinuliwa na Mungu kweli ni bahati yetu nzuri.

Kupata kwetu ukweli na uzima kwa kweli ni kwa ajili ya fadhila kuu za Mungu.

Tuko pamoja na Mungu, tunatembea na Mungu.

Tunajizoeza kuwa waaminifu, na hakika tutapokea kibali cha Mungu.

Kwenye mwendo wa mwisho, tunatenda wajibu wetu na kumridhisha Mungu.

Katika shida na uchungu, hatuna malalamiko; tunatafuta tu upendo wa kweli kwa Mungu.

Kupitia dhiki, tunapewa maisha mapya, na tunashuhudia ushuhuda wa ushindi.


Jua la haki limeonekana, sote ni mashahidi wa Mungu.

Iliyotangulia: 163 Pamoja Kupitia Katika Upepo na Mvua Uaminifu Mpaka Kifo

Inayofuata: 165 Ushuhuda wa Maisha

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?
Wasiliana Nasi
Wasiliana nasi kupitia WhatsApp

Maudhui Yanayohusiana

47 Furaha Katika Nchi ya Kanaani

1 Kurudi nyumbani kwa Mungu, nahisi furaha na msisimko. Nina bahati kuona hatimaye Mwenyezi Mungu wa vitendo. Maneno Yake huwaongoza watu...

269 Nitampenda Mungu Milele

1 Ee Mungu! Maneno Yako yananiita nirudi Kwako. Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku. Mara nyingi sana nilikuwa dhaifu...

84 Umuhumi wa Maombi

1 Maombi ni njia moja ya mwanadamu kishirikiana na Mungu, kuita Roho Wake na kuguswa na Mungu. Kadiri unavyoomba zaidi, ndivyo...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki