98 Ukweli Ni Methali ya Juu Zaidi ya Maisha
1
Ukweli ndio methali ya kweli kabisa ya maisha,
na ya juu zaidi kati ya binadamu wote.
Inaitwa methali ya maisha kwa sababu ni kile ambacho,
kwa sababu ni kile ambacho Mungu anataka kwa mwanadamu na ni kazi iliyofanywa na Yeye binafsi,
Mungu anataka kwa mwanadamu na ni kazi inayofanywa na Yeye mwenyewe.
Sio msemo uliotengenezwa kutoka kwa kitu,
wala sio nukuu maarufu kutoka kwa mtu mkuu, mtu mkuu.
Lakini ni tamko kwa binadamu
kutoka kwa Bwana wa vitu vyote duniani na mbinguni.
2
Sio maneno yaliyotengenezwa na binadamu,
lakini ni maisha asili ya Mungu, Mungu Mwenyewe.
Hivyo basi ni methali ya juu ya maisha.
Kutenda ukweli ni kutimiza wajibu wa mtu,
na kutosheleza kile ambacho Mungu anahitaji, Mungu anahitaji.
Sio msemo uliotengenezwa kutoka kwa kitu,
wala sio nukuu maarufu kutoka kwa mtu mkuu, mtu mkuu.
Lakini ni tamko kwa binadamu
kutoka kwa Bwana wa vitu vyote duniani na mbinguni.
3
Kiini cha mahitaji haya ni kwa kweli ukweli wa kweli kushinda wote,
na sio mafundisho matupu yasiyoweza kufanikishwa.
Sio msemo uliotengenezwa kutoka kwa kitu,
wala sio nukuu maarufu kutoka kwa mtu mkuu, mtu mkuu.
Lakini ni tamko kwa binadamu
kutoka kwa Bwana wa vitu vyote duniani na mbinguni.
Sio msemo uliotengenezwa kutoka kwa kitu,
wala sio nukuu maarufu kutoka kwa mtu mkuu, mtu mkuu.
Lakini ni tamko kwa binadamu
kutoka kwa Bwana wa vitu vyote duniani na mbinguni.
Umetoholewa kutoka katika “Ni Wale tu Wanaomjua Mungu na Kazi Yake Ndio Wanaoweza Kumridhisha Mungu” katika Neno Laonekana katika Mwili