210 Matamanio ya Dhati ya Kutubu

1

Kwa kuwa siku ya Mungu ya utukufu inakaribia,

moyo wangu umejaa huzuni na wasiwasi.

Uasi wangu wa Mungu naukumbuka kwa majuto,

mawazo ya wasiwasi huibuka juu ya deni langu kwake.

Mungu alinichagua, ili niweze kujiunga na karamu ya ufalme.

Mungu huonyesha njia tunayopaswa kufuatilia.

Ananisihi mara kwa mara, lakini sisikilizi.

Ninashindwa kupata ukweli, na sina ujasiri wa kumkabili Mungu.

2

Ninaziona kanuni kama ukweli wa uhalisi.

Ninatenda kazi ngumu badala ya ukweli,

hakuna bidii katika wajibu wangu, udanganyifu tu.

Ninapopogolewa, ninatetea na sitatii.

Mungu hupanga vitu vyote kunisaidia kupata ukweli.

Lakini mimi siitii au kutafuta ukweli.

Natembea kwa ukaidi kwa njia ya Mafarisayo, sitarudi nyuma.

Kuchukiwa na Mungu, maisha ni giza, baya zaidi kuliko kifo.

3

Maneno ya Mungu ya hukumu yanapitia moyo wangu kama mapanga,

Hapo tu ndipo moyo wangu wenye ganzi na usiojua huanza kusisimka,

na ninachukia kukimbia kwangu kwa bidii kutoka kwa ukweli.

Yote ninayoishi kudhihirisha ni tabia ya Shetani,

Kazi ya Mungu iko karibu kumalizika, Atarudi Sayuni hivi karibuni.

Kumwamini Mungu lakini kutoweza kumridhisha Yeye ni jambo la aibu.

Mimi sistahili kabisa kufurahia maneno ya Mungu, ninajua kwa kweli ni deni gani ninalowiwa Naye.

Kuwa na masaa haya ya mwisho kujitolea kwa Mungu ni zawadi adimu.

Nitakata shauri kutafuta ukweli, kutumia maisha yangu yote kulipia neema yote ya Mungu.

Iliyotangulia: 209 Majuto Kutokana na Kupitia Hukumu

Inayofuata: 211 Kuna Maumivu Ndani ya Moyo Wangu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp