47 Maisha ya Kanisa Huleta Furaha Kuu

1

Ndugu, tumekuja mbele za Mungu.

Kula na kunywa maneno Yake, ni furaha kuu.

Mungu hajali jinsi tuonavyo ukweli kwa kina,

Anapendezwa na maneno yetu ya kweli.

Tunashiriki uzoefu, tuliyojifunza,

tunasaidiana, kwenda mbele mkono kwa mkono.

Tunaelewa ukweli, tunajitafakari wenyewe,

kuona upotovu wetu, makosa yetu.

Maombi yetu ndiyo tunayohisi,

tunazungumza na Mungu kutoka moyoni.

Tunaposhiriki zaidi juu ya maneno Yake,

ndivyo tunavyoelewa maneno na ukweli Wake zaidi.

Tumeonja upendo wa Mungu.

Maisha ya kanisa huleta furaha kubwa mno,

na maisha yetu yanakua hatua kwa hatua.

Ufalme wa Kristo kweli ni nyumbani kwetu.

Wale wanaompenda Mungu watamsifu milele.

Utukufu wote uwe kwa Mwenyezi Mungu!

2

Ndugu, tumekuja mbele za Mungu.

Kula na kunywa maneno Yake, ni furaha kuu.

Tunaposhiriki kuhusu maneno ya Mungu,

kushiriki yale ambayo tumepitia na kujifunza,

tunapata nuru kutoka kwa Roho Mtakatifu.

Nuru ya Mungu inatuangaza.

Maisha ya kanisa huleta furaha kubwa mno,

na maisha yetu yanakua hatua kwa hatua.

Ufalme wa Kristo kweli ni nyumbani kwetu.

Wale wanaompenda Mungu watamsifu milele.

Utukufu wote uwe kwa Mwenyezi Mungu!

3

Mungu hutupangia vitu vyote,

vinatumika kutusaidia kukamilishwa.

Sasa tunajua mapenzi ya Mungu na moyo Wake,

ni kwa ajili yetu tupate ukweli.

Kupitia kutenda ukweli wa Mungu, maneno Yake,

tunapata ukweli zaidi, uhalisi zaidi.

Maisha ya kanisa huleta furaha kubwa mno,

na maisha yetu yanakua hatua kwa hatua.

Ufalme wa Kristo kweli ni nyumbani kwetu.

Wale wanaompenda Mungu watamsifu milele.

Utukufu wote uwe kwa Mwenyezi Mungu!

Na maisha yetu yanakua hatua kwa hatua.

Ufalme wa Kristo kweli ni nyumbani kwetu.

Wale wanaompenda Mungu watamsifu milele.

Utukufu wote uwe kwa Mwenyezi Mungu!

Tufanye wajibu wetu kwa uaminifu, tushuhudie ili kutimiza mapenzi ya Mungu.

Iliyotangulia: 46 Ufalme Wa Kristo Ni Nyumbani Kwenye Joto

Inayofuata: 48 Maisha Ya Kanisa Ni Ya Kupendeza Sana

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp