195 Nitatii Mipango ya Mungu katika Kila Jambo

1

Ee Mungu, Unaonyesha ukweli

kuwaokoa wanadamu katika siku za mwisho.

Nimeisikia sauti Yako

na kunyakuliwa mbele ya kiti Chako.

Hukumu Yako na utakaso Wako,

Naweza kuona wazi upendo Wako wa kweli.

Yote unayofanya ni kutakasa na kuokoa.

Ingawa nimeteseka, naona mapenzi Yako mazuri.

Hukumu Yako ni upendo na baraka, natamani kukutii

katika mipango Yako yote.

Ee Mungu, naelewa mapenzi Yako.

Ikiwa Unatoa hukumu,

kuadibu, au kutoa neema Yako,

kila kitu unachofanya, kila kitu unachofanya ni kumwokoa mwanadamu.

Ee Mungu, Wewe ni mzuri sana,

Nimeamua kukufuata kwa uaminifu.

Haijalishi kile ninachokumbana nacho, bila kujali ninachopitia,

Ninaishi tu kupata ukweli na uzima.

2

Ee Mungu, hukumu ya maneno Yako inanitakasa.

Ninapoipitia, upendo na baraka naona.

Unapohukumu, kuadibu na kujaribu,

Wewe daima uko upande wangu.

Wewe uko pamoja nami ninapokuwa katika machungu,

Unanifariji na kuongoza njia.

Kutumia watu, masuala, na mambo kunikamilisha,

ili nipate kujua ukweli na kukujua.

Hukumu Yako ni upendo,

baraka hii inaonyesha uwezo Wako na hekima.

Ee Mungu, naelewa mapenzi Yako.

Ikiwa Unatoa hukumu,

kuadibu, au kutoa neema Yako,

kila kitu unachofanya, kila kitu unachofanya ni kumwokoa mwanadamu.

Ee Mungu, Wewe ni mzuri sana,

Nimeamua kukufuata kwa uaminifu.

Haijalishi kile ninachokumbana nacho, bila kujali ninachopitia,

Ninaishi tu kupata ukweli na uzima.

3

Hata ningepeanwa kwa nguvu za Shetani,

bado ningekuwa shahidi na kumtukuza Mungu.

Mungu ni mtakatifu na mwenye haki,

nami nitamsifu Yeye milele.

Ee Mungu, naelewa mapenzi Yako.

Ikiwa Unatoa hukumu,

kuadibu, au kutoa neema Yako,

kila kitu unachofanya, kila kitu unachofanya ni kumwokoa mwanadamu.

Ee Mungu, Wewe ni mzuri sana,

Nimeamua kukufuata kwa uaminifu.

Haijalishi kile ninachokumbana nacho, bila kujali ninachopitia,

Ninaishi tu kupata ukweli na uzima,

kupata ukweli na uzima.

Iliyotangulia: 194 Kutakaswa na Maneno ya Mungu

Inayofuata: 196 Hakuna Majuto wala Malalamiko katika Kumpenda Mungu

Ulimwengu umezongwa na maangamizi katika siku za mwisho. Je, hili linatupa onyo lipi? Na tunawezaje kulindwa na Mungu katikati ya majanga?

Maudhui Yanayohusiana

418 Umuhumi wa Maombi

Sala ni mojawapo ya njia ambazo mwanadamu hutumia kushirikiana na Mungu, ni njia ambayo mwanadamu hutumia kumwita Mungu, na ni mchakato...

Mipangilio

  • Matini
  • Mada

Rangi imara

Mada

Fonti

Ukubwa wa Fonti

Nafasi ya Mstari

Nafasi ya Mstari

Upana wa ukurasa

Yaliyomo

Tafuta

  • Tafuta Katika Maneno Haya
  • Tafuta Katika Kitabu Hiki

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp